Maumivu ya bajeti ya 2021 yako hapa kwa wananchi wa kawaida

alafu kuna watu wanazungusha viuno wanasherekea eti bia itapungua bei 🤣 🤣 🤣
 
Duh, sasa mbona wanatuzidishia mizigo kila siku
Vat 18% imekua not enough kwao? Mpka tuanze kulipia laini kila siku.
 
Nchi ya Zanzibar bajeti yake poa sana kwani inawajari wananchi na wanashangilia kodi zimepunguzwa!!!
Ninavo amini,siku Zanzibar kujitegemea itakuwa kwa haraka sana huenda hata ikatupita kila kitu
 
Mnadhiri wa Mungu, alituonya kuwa haya yatakuja kutokea akiondolewa, tukampuuza.
 
☝️100%
 
Dah nimecheka sana aisee Jf hakika ni zaidi ya kisima cha burudani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…