Maumivu ya kuachwa na mke huwa yanachukua muda gani kupona


1. Usiangalie picha.
2. Usimbembeleze.

Yanaisha tu, kutegemeana na wewe na bidii yako ya kufanya mambo mengine.
 
Pole sana Mkuu.
inaonekana bado unampenda na kumuhitaji yeye na mtoto.

Sasa Ameshaondokaa. Ila ukituliza kichwa atarudi.

Hebu tuanzie hapa.
mwanamke hawezi kuondoka bila kuwa na sababu.
Ni nini hasa ulimfanyia?.
 
Pole mkuu
 
Pole sana Mkuu.
inaonekana bado unampenda na kumuhitaji yeye na mtoto.

Sasa Ameshaondokaa. Ila ukituliza kichwa atarudi.

Hebu tuanzie hapa.
mwanamke hawezi kuondoka bila kuwa na sababu.
Ni nini hasa ulimfanyia?.
hakipo......ukizingatia mimi ni mtu wa safari sana, nilikuwa ninampa gape na uhuru wa hali ya juu na nilijitahidi kila kitu na kwa wakati sahii.
 
si tulikubalia wazazi huwa hawaachani?, means ukihitaji muda wowote ni unaichapa au kuna mabadiliko kidogo
Ila Naona kabisa ephen_ hafai awe role model wako.

Kutokuachana kwa wazazi ina maana hapo miaka ya mbeleni . Jamaa ataoa na Mama mtoto atalewa. Ila jamaa atafanya kila naamna wakat anatoa matumixi ya mtoto atakuwa anamkula na Mama mtoto ambaye at that time atakuwa mke wa mtu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…