Maumivu ya kuachwa na mke huwa yanachukua muda gani kupona

Acha kuangalia picha zake ,kausha mkuu wew sio wa kwanza ila acha ku mtacta wala kuangalia picha xake anza maisha mema
 
Fanya hivi,
Kanunue mitumba ya chupi za wanawake, migagulo, kanga na madela, kisha anika hapo home kwako ili wambea waone, saa sita mbali mtu karudi
 
Inategemea na mke mwenyewe ,kama CHANUO NCHAKALI ni ndani ya dakika 5 ushamsahau.
 
Wewe mwanaume una changamoto gaani mpaka unaachwa!??
Hivi unajitambua kweli wewe!!?
 
Kwani wanaume Huwa hawaachwi? Mbona mi nimepiga nyama chini
Huyo alikua bwege!!!
Mwanaume ukishakua na tabia za kipumbavu hakuna mwanamke mwenye akili atastahimili huo ujinga wako.
Kama ulilipiga chini fala hilo halijitambui na halitakaa lioe tenaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Huyo alikua bwege!!!
Mwanaume ukishakua na tabia za kipumbavu hakuna mwanamke mwenye akili atastahimili huo ujinga wako.
Kama ulilipiga chini fala hilo halijitambui na halitakaa lioe tenaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Kumbe hii ndo I'd Yako Mzee, maana nahisi ndo we mwenyewe, halafu ukiwa huku unajiona mwamba flani hivi
 
Nilibaki na maumivu kwa miaka minne 4.

Nilichoma kila kitu, sikuweza anza mahusiano hadi nilipo pona. Nilikaa mbali na kila kitu ambacho kingenipumbaza kuwa mmbadala wa mke..

Nimekuja pona na kuwa kwenye uhusiano baada ya kupona kabisa
Doh Mkuu 4yrs unapona Tu πŸ˜‚πŸ˜‚ ayseee
Ulikuwa umezamisha kichwa,mikono,miguu na kiwiliwili πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kama kaenda kwao bado hamjaachana, kuna kitu anataka kujaribu kikikolea ndo mtaachana, akirudi kimefeli. We jiridhishe tu yupo kwao halafu jikaze endelea na shughuli zako.
 
Pole kuachwa. Jaribu kumrudisha halafu umwache yeye iwe bila bila
Japo imekaa ka kichekesho ila hiyo ndo njia pekee ya kuondoa maumivu πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…chezea kuachwa ww...
 
Hii ni kw
HIli ni kweli kabisa ,hayo maumivu huwa yanapungua natural taratibu kulingana muda ,Mimi nimepitaia hali hiyo mwezi wa 3 sasa naona kabsa naqnza kuzoea kuwa peke yangu bila mke wala watoto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…