AI BRAINFULL
JF-Expert Member
- Oct 31, 2019
- 2,122
- 5,319
ilitakiwa aoge maokoto au sio mkuuMaokoto
Hivi kwanini watu mmekremisha meno 32, Wewe umehesabu meno yako una uhakika yako 32? ?Bro usilazimishe kuishi na mtu.
Umemkuta ana meno 32
Si ndo hawa na ID za kuachwa na mke 🤣. Utajua hujui broBadala usherehekee hivi KATAA NDOA WAMEENDA WAPI SIKU IZI
Au kama vipo kama wife anakusumbua hesabu meno yake, kama bado hayajafika 32, subiri akikua ataacha!Hivi kwanini watu mmekremisha meno 32, Wewe umehesabu meno yako una uhakika yako 32? ?
Nilienda kwa dentist when I was 21 akagongagonga fizi huko nyuma akasema wewe huna meno. Yalikuwa 28. Nikamwambia si bado hayajaota. Akasema hayawezi kuota tena. Nikafikiri anatania........
Mwizukulu mgikuru, ni muhimu kutambua kuwa maumivu ya kuachana na mwenzi ni halisi na mchakato wa uponyaji hutofautiana kwa kila mtu.Kwa sasa napitia kipindi flani cha maumivu hasa ninapoangalia picha za mtoto mdogo aliyeondoka na mama yake. Mwanamke anaondoka hukumfukuza na hukumpiga na anakusanya vitu vyake ukimuuliza anakuambia sitaki kukaa hapa nataka niende kwetu.
Ulikaa miezi 9 tumboni.?Hivi kwanini watu mmekremisha meno 32, Wewe umehesabu meno yako una uhakika yako 32? ?
Nilienda kwa dentist when I was 21 akagongagonga fizi huko nyuma akasema wewe huna meno. Yalikuwa 28. Nikamwambia si bado hayajaota. Akasema hayawezi kuota tena. Nikafikiri anatania........