Maumivu ya mwanamke kusalitiwa: Hana wa kumtetea, jamii inaona ni haki yake

Maumivu ya mwanamke kusalitiwa: Hana wa kumtetea, jamii inaona ni haki yake

Wanawake waepuke kuwa tegemezi wa wanaume ili kupata mahitaji ya msingi Na yale ya ziada.

Wanawake wajifunze kumcha Mungu seriously na kimatendo.

Wanawake wajue kuwa Mwanaume sio mkamilifu (avoid perfectionism).

Wanaume wameumbwa kuwa juu na watawala wa wanawake.

N.k.
 
Sasa mwanamke mwingine Eti anachukua
Muda kabisa kupita kwenye hotel/lodge/guest houses Na picha ya mumewe kuulizia iwapo anaendaga kwenye hizo hotel na mwanamke mwingine yeyote?! [emoji848][emoji848] huo si upumbavu na ujinga?!

Wengine kwenye baa na vijiwe vya bodaboda imagine huku akiwa na picha ya mume wake!

Simu upekuzi Ndiyo usiseme!

Sasa ukimkapata vema uondoke lakini ukijua huna pa kwenda uko tegemezi na kipato chako cha ngama hata Nyumba ya kupanga ya shilingi 500,000/ Au 300,000/- kwa mwezi uwezo wa kujilipia huna ya kukaa wewe na wanao si iwe mpole tu na kuvumilia ili mradi hajakuletea nyumbani anafanyia mbali?

Kuna wanawake ni shida sana hasa wale wwnaotaka ku watawala wanaume.
 
Kiasili kabisa Mwanaume ameumbwa ku Mtawala mwanamke,

Mwanamke ukilazimisha kufanya kinyume chake ujue imekula kwako na matokeo utaanza kuyaona muda si mrefu.
 
Huwa siwaelewi wanawake wanaohisi wanaweza kubadili mfumo uliyowekwa toka enzi, Mwanamke unazungumza kuhusu kusalitiwa! baki msimbe sasa.
 
Huwa siwaelewi wanawake wanaohisi wanaweza kubadili mfumo uliyowekwa toka enzi, Mwanamke unazungumza kuhusu kusalitiwa! baki msimbe sasa.
Kuwa msimbe ni ugonjwa? Kuna mtu kafa kwa kuwa msimbe? Huna maadili ndio maana unaona ni sawa kufanya uovu
 
Sasa mwanamke mwingine Eti anachukua
Muda kabisa kupita kwenye hotel/lodge/guest houses Na picha ya mumewe kuulizia iwapo anaendaga kwenye hizo hotel na mwanamke mwingine yeyote?! [emoji848][emoji848] huo si upumbavu na ujinga?!

Wengine kwenye baa na vijiwe vya bodaboda imagine huku akiwa na picha ya mume wake!

Simi upekuzi Ndiyo usiseme!

Sasa ukimkapata vema uondoke lakini ukijua huna pa kwenda uko tegemezi na kipato chako cha ngama hata Nyumba ya kupanga ya shilingi 500,000/ Au 300,000/- kwa mwezi uwezo wa kujilipia huna ya kukaa wewe na wanao si iwe mpole tu na kuvumilia ili mradi hajakuletea nyumbani anafanyia mbali?

Kuna wanawake ni shida sana hasa wale wwnaotaka ku watawala wanaume.
Yah na ndio maana tunasemaga ni kukosa akili kuhisi unaweza kubadili mfumo badala ya kuendana na mfumo kwa manufaa yako.
 
Huwezi ukamfumania mumeo alafu ukajisikia amani moyoni kama uko vzuri kihisia. Tatizo mnaficha maumivu
Hatufichi maumivu lakini tumejifunza kutokuumia kwa muda mrefu.
Kuna mafumanizi mengine mtu kakufanyia makusudi, nia yake uumie. Sasa kwanini uendelee kuumia?
 
Unajua mwanamke hasalitiwi kwa mwanaume kuwa na mke mwingine bali mwanamke anasalitiwa pale mwanaume anapoacha kumpenda na kumtelekeza na kutokumzingatia kama mke wa ndoa tena.

Kama ni kweli mwanamke anasalitiwa kwa mwanaume kuwa na mwanamke mwingine pembeni yake nitakuuliza maswali;

Je, unafahamu kuwa imani ya kiislam inahusisha Ndoa ya mke zaidi ya m'moja yaani wake hadi kufikia wa4, so unataka kutuambia kuwa waslam na imani yao inaruhusu usaliti?!

Kama wanawake wanachukulia mwanaume kuwa na mwanamke mwingine pembeni yake ni usaliti, je, umeshawahi kujiuliza kwann wanawake wengi wapo tayari kutembea na mume wa mtu na wakijua wazi ana mke wake? Ingekuwa wanawake wanasalitiwa kwa mwanaume kuwa na mwanamke mwingine pembeni yake then hakungekuwa na mwanamke ambaye anakubali kutongozeka au kuwa side chick au baby moma wa mume wa mtu.

Kama wanawake wanasalitika kwa mwanaume kuwa na mwanamke zaidi yake then kusingekuwa na Ndoa za mitaala a.k.a ndoa za wake wengi yaani wake kumi na zaidi.

Nadhani umezungumza hoja zako kwa kutumia hisia bila kuzingatia uhalisia.

Haya uliyosema yanatokana na mfumo wa mataifa ya magharibi ya kumuaminisha mwanamke kuwa anaweza kuwa na mwanaume wa pekee yake. Na ndio maana ndoa hazikaliki miaka hii.

Mwanamke ni monogamy kwa mwanaume ila mwanaume ni polygamous kwa wanawake. Mwanaume hawezi kunest na mwanamke m'moja maisha yake yote unless apate mahitaji yake muhimu kwa huyo mwanamke pekee jambo ambalo ni gumu sana.

Jiulize swali moja, mwanamke anahitaji vitu gani kwa mwanaume wake na mwanaume anahitaji nini kwa mwanamke wake?!

Mwanamke anahitaji sana matunzo more than anything kwa mwanaume na ndio maana kujihakikishia hilo wakajijengea hii fikra ya kuwa na mume wa pekee yake ili aweze pata hiyo attention na matunzo pekee yake maana ndio kitu muhimu kuliko vyote.

On the other hand mwanaume anataka attention ya mwanamke wake ila haihitaji. Ukitaka kuprove hiyo mwanamke awe anamzonga mwanaume muda wote utaona mwanaume anavyolalamika kuwa mke anamkera sababu ya too much attention.

Mwanaume anataka akihitaji attention apewe muda anataka then akiwa anataka privacy apewe pia ili awe karibu na mwanamke anayetaka.

Na jambo lingine, tazama mahusiano, ni lazima utakuta mwanaume ana mke ila lazima awe na demu wa nje amempangishia au anampa mahitaji na mke hawezi jua hadi afuatilie au mwanaume awe hana heshima na mkewe tu amuonyeshe kinachoendelea. Ila mwanamke akithubutu kufanya mahusiano nje ya Ndoa yake yaani hata awe msiri vipi itajulikana haraka sana na atabainika.

Kwa kuhitimisha naomba nikwambie kuwa mwanamke hasalitiwi na mwanaume kwasababu mwanaume ana mwanamke mwingine pembeni. Bali mwanamke anasalitiwa na mwanaume pale tu mwanaume anapomtelekeza na kumpotezea mwanamke wake na kumpa hadhi au privilege mwanamke mwingine nje ya huyu ambaye anastahiki kupewa heshima ya mke.

Kwa upande mwingine, mwanamke ndie ambaye akianzisha mahusiano na mwanaume mwingine by principle anakuwa amesaliti na kuharibu mahusiano.
 
Ajabu ni kwamba wanaoteseka na mapenzi siku hizi ni wanaume.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ongezea ambao hawana hela. Ila waswahili wanasema anayelia sasa hucheka baadae na ambae anacheka sasa hulia baadae.

So kama wanaume wanateseka sasa so ina maana wanawake wameolewa wote au wapo kwenye mahusiano imara au pengine wanawake ndio wanaleta shida kwa sasa?

Mmmmmmhmn nakuachia homework hiyo.
 
Taasisi zote hizo bado unasema hana wa kumtetea? Na mwanaume ambaye anasalitiwa anatetewa na nani?

Mimi naamini katika mfumo dume tu ndo una haki

Kama kuna kosa mwanadam alifanya hasa mwanaume ni kukubali mambo ya haki sawa!
Hili jambo kwa Mungu hakutaka liwe hivyo na shetani alivyo vile alivyotukataza Mungu ndipo hapo hapo shetani anapita na kukuonyesha sio vibaya kufanya alichokaza Mungu!
Haki sawa ni Ajenda ya Freemason na Illuminati. Feminists ndio ma agent wao wa kuwasaidia kuharibu jamii.
 
Ongezea ambao hawana hela. Ila waswahili wanasema anayelia sasa hucheka baadae na ambae anacheka sasa hulia baadae.

So kama wanaume wanateseka sasa so ina maana wanawake wameolewa wote au wapo kwenye mahusiano imara au pengine wanawake ndio wanaleta shida kwa sasa?

Mmmmmmhmn nakuachia homework hiyo.

Na mwenye kucheka mwishoni/badae hucheka sana.
 
Hatufichi maumivu lakini tumejifunza kutokuumia kwa muda mrefu.
Kuna mafumanizi mengine mtu kakufanyia makusudi, nia yake uumie. Sasa kwanini uendelee kuumia?
@Demi lazima uumie, na hili hakuna wa kuweza kujizuia ispokuwa utajizuia kuonyesha kuwa imeuma!
Nimeona #35 umesema huwezi kukaa na mtu huyu aliekusaliti (uliemfumania). Kwanini uondoke?
 
@Demi lazima uumie, na hili hakuna wa kuweza kujizuia ispokuwa utajizuia kuonyesha kuwa imeuma!
Nimeona #35 umesema huwezi kukaa na mtu huyu aliekusaliti (uliemfumania). Kwanini uondoke?
Labda hujanielewa.
Maumivu huwa yapo, mara ya kwanza unaweza hata ukajinyonga usipokuwa makini.
Unapigwa matukio hadi akili inakukaa sawa unakuwa hujali tena, unaweza ukaumia lakini si kama mwanzoni.
Na ikibidi uondoke majeraha yanapona haraka.
Kwahiyo haya mambo madogo madogo hayatuumizi tena. Tunafahamu jinsi ya kujiponya.

Kazi inabaki kwenu kulalamika mke wangu hivi mara vile mwenyewe hajali tena.
Uchelewe kurudi sawa...
Usipompa pesa ya matumizi... Inshallah
Upo busy na mchepuko yako kwenye simu... Yote heri.
Huna muda nae... Ni vizuri maana unampa nafasi na yeye kufanya yake.

Mwisho wa siku jitafakari kama haya ndo maisha unayoyataka ama Vipi.
Wewe ndo kichwa cha familia unaamua ndoa yako iwe Vipi.
 
maumivu ni maumivu! Labda tu ni kwamba unakuwa na uzoefu..
 
Back
Top Bottom