Maumivu ya wamiliki wa European cars!

Hata saa kuna Rado na Casio chaguo ni lako
Mimi na familia ni mwendo wa Europe cars tu
Japanese cars nilipokuwa kijana nilikuwa na Skyline GT, Mazda rx7, starion, supra, Nissan 280 na 350z nilikuwa nabadili tu ila sasa uzee huooo
Moja yangu ya kizee na inakunywa wese balaa mengine ya watoto na Mrs
 
acha fix hizogari vitu vyake vipo juu sana. usilinganishe na gari za japani vituvyao bei ni nafuu.
Nunua Prado au LC300 halafu nenda Toyota Tanzania kanunue spare OG ya gari yako.

Kaulize bei ya shockups OG za harrier tako la nyani pale Toyota Tanzania. Halafu ntakwambia bei ya shockups za BMW X3.

Utarudi na chupi mkononi.
 
At least kuna spares zitakazo kupeleka miezi sita.
Hapo vile vie uelewe kuwa almost 90% ya magari ya kijapan nchini ni used.
Life span ya gari 3~5 years.
Original spares za kukaa miaka 10~15 za nini?
Kuna gari namba C na zipo njema kuliko namba E.

Suala ni utunzaji na kupenda kitu chako.

Mwingine kununua kitu chochote OG ni kawaida achilia mbali spare parts.
 
Kitaalamu hii tunaiitaje?
 
Kiuhalisia wengi hawawezi afford kutunza hata hizo Passo au IST zao.

Vile spare feki na used ndo zinatufanya tuvimbe mjini.
 
spare zinakua naviwango vyabei kulingana na ubora.hapahapa bongo zipo feki na original.lakini kwa gari zaulaya spare zake nibei kubwa Hadi inapelekea wamiliki kununua yused. halafu Kuna gari nyingine zaulaya spare zake bongo hazopo Hadi uagize nje.
Unajua bei ya spare OG ya LC300? Au Nissan Patrol? Au Mazda XC-5?

Usikariri sana.
 
Ni rahisi kumiliki gari za Toyota za zamani ikiwa tanzania.

Muda wa service unapita ila bado linaendeshwa (watu wanaona hiyo ni reliability)

Kuweka spare fake aka used (watu wanaona ni convenience)

Kuwa na mafundi wengi ila wabahatishaji (nako ni convenience).

Ila gari za kisasa za Toyota zina sensor nyingi tu. Ni vile watu wengi hawana ndo maana wanaona sawa na gari zao za miaka 20 iliyopita.

Kuitunza LC200 kama huna deep pockets utakimbia ulingo.
 
Stev Nyerere anapata wapi hela ya kutunza LC 300?
 
Ndio yale yale baba na mama wanaweza kuzaa na kuhudumia watoto hata kumi ila hao watoto kumi kuwahudumia wazazi wa wili ni mtihani[emoji848] sijui hua inakuaje
 
Sisi mafundi[emoji1787][emoji1787] tunaona kununua mkaa wa elfu3 kila siku ni rahisi kuliko kununua gesi ya elfu20 kwa mwezi, wakati huohuo mkaa wa elfu3 kwa siku ukipiga kwa mwezi ni elfu90 kiasi kwamba hata ukinunua gesi kg15 kwa elfu50 per month bado ni cheaper kuliko mkaa![emoji765][emoji1787][emoji1787] Upatikanaji wa pesa nao sio wa uhakika ndio unatuponza
 
[emoji55][emoji55][emoji55][emoji89]
 
Nunua Prado au LC300 halafu nenda Toyota Tanzania kanunue spare OG ya gari yako.

Kaulize bei ya shockups OG za harrier tako la nyani pale Toyota Tanzania. Halafu ntakwambia bei ya shockups za BMW X3.

Utarudi na chupi mkononi.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Wewe huwa unaweka Oil used? Tyre used? Battery used? Plugs used? Wiper used? Cabin filter used? Oil filter used?
Hata ukiweka vipya sio OG ni after_market na vingine ukipata OG kwa bei ndogo ujue used! Kuna spare japo sio OG ila bado watu hawawezi nunua kama 555 na wenzie, wengi wanafunga FROTS mchina famba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…