Si hao Sudanese wameletwa wamalize elimu yao hapa Tanzania?Nimefika Khartoum ni majanga tupu
Sudan labda elimu ya kubwatukaSi hao Sudanese wameletwa wamalize elimu yao hapa Tanzania?
Wengine Muhimbili na wengine UDSM.
Washatoa ripoti kuwa hapa kuna elimu konki kuliko Sudan na wataendelea kusoma hapa kwa maoni yao wanaona Tanzania papo bora katika usomaji kuliko Sudan.
Mapinduzi / Mavamizi yalifanywa 1964 Januari.Kabla ya mapinduzi ilikua chini ya utawala wa Oman Sultanate.
Na haikua na uchumi wowote maana uchumi ulikua under Oman sultanate.
Kiufupi Zanzibar ikitaka iendelee ibadikile ki mentality.
Wapemba wana mentality za kijinga sana ni ndugu zangu nawajua.
Takbiir
Yaonekana wewe ndio hujui historia.Mapinduzi / Mavamizi yalifanywa 1964 Januari.
Zanzibar ilikuwa ikitawaliwa na Muingereza na ilipata uhuru 10 Disemba 1963 . Inavyoonyesha hata historia hujaisoma.
Msikilize Sheikh Ponda atakupa historia fupi
View: https://youtu.be/idQqiBrs6lE?si=eybLRjXuWlAxFHYP
Kaka msenge sana weweππππΏββοΈ eti Takbiiir.Takbiir
Ukivunjika hawa watu watateseka kwa vitu vingi mkuu.Huu muungano huu ni upuuzi yani inatakiwa tuuvunje zanzibar wabaki gizani
Yaonekana wewe ndio hujui historia.
Unafahamu kitu kinachoitwa MANDATE TERRITORY!?
Mathalan South Africa ilitawaliwa na Uingereza kama Mandate ila Boers ndio waliachiwa mamlaka.
As well as Zanzibar,Uingereza alishaacha utawala kwa Sultanate of Oman kabla ya hiyo 1963 kama alivyoachia utawala kwa Boers South Africa.
Matokeo yake wazulu wakatakiwa kupambana na makaburu ili wapate uhuru kamili
Zanzibar haikupata uhuru kamili kijana.
Authority yote ilikua chini ya Sultanate hadi hapo 1964 mapinduzi yalipofanyika.
Ila kiufupi UK ilishawaachia madaraka WaOman muda sana.
Kasome kitu Mandate territory ndio utaelewa.
Ukivunjika hawa watu watateseka kwa vitu vingi mkuu.
Mie kila mwaka huenda Unguka kupumzika hususan mwezi wa 10.
Huwa nazungumza nao sana na wao wanakiri muungano ukivunjika wazanziberi kwishnei.
Maana Zanziberi hakuna potentials kama bara,ndio maana hata wao hukimbilia sana bara kuishi na kuwekeza.
Jiulize kwanini hawawekezi kwao!?
Mathalan BAKHRESA.
Takbiir
Huu muungano huu ni upuuzi yani inatakiwa tuuvunje zanzibar wabaki gizani
Ukivunjika hawa watu watateseka kwa vitu vingi mkuu.
Mie kila mwaka huenda Unguka kupumzika hususan mwezi wa 10.
Huwa nazungumza nao sana na wao wanakiri muungano ukivunjika wazanziberi kwishnei.
Maana Zanziberi hakuna potentials kama bara,ndio maana hata wao hukimbilia sana bara kuishi na kuwekeza.
Jiulize kwanini hawawekezi kwao!?
Mathalan BAKHRESA.
ππππππAisee bro uliruka somo la history nini?Yaani unataka kuniambia Afro Shirazi , ZPPP na ZNP walienda Uingereza kuomba uhuru wa mandate territory ??
Zanzibar haijawa Mandate hata siku moja , kasome wewe historia , hata Sheikh ponda hujamsikiliza hapo umekurupuka tu
Imepinduliwa serikali 1964 hata bado Polisi haijakabidhiwa Zanzibar Govt , ilikuwa ikiongozwa na Muingereza kwa taarifa yako
Na ndiyo mapinduzi yakawezekana , soma kitabu
kwaheri uhuru kwaheri ukoloni
ππππππAisee bro uliruka soma la history nini?
Hivi unajua hata South Africa Muingereza alikua akitawala indirect kwa kugawana madaraka na Boers!?
Zanzibar ilitawaliwa kwa mandate kasome historia vizuri.
Mamlaka za juu ziligawanywa kwanza kwa UK kesha kwa Sultanate,kabla Uingereza hajaachia mamlaka yote kwa Sultanate.
Wabara wanaokuja huko ni hopeless walioshindwa kuendelea.Kwani kuteseka au kutoteseka nyinyi wabara inawauma kitu gani ??
kwani nyinyi hapo Tanganyika chini ya CCM hamuteseki na jinchi lenu lote hilo hamkimbilii Zanzibar kwa maelfu kutafuta ajira Zanzibar??
wengine wanalala kwenye mapaa ya nyumba za Michenzani , kuna Mzanzibari analala huko Tanganyika kama hivyo ??
Akili ya kiuchumi tunajua wenyewe namna ya kujiendesha nyinyi haiwahusu
Watu hukimbia hivi vibaraka vya Tanganyika ambavyo mnaviweka kwa nguvu ili kukimbia shida .
jaribuni mara hii kuwachia upinzani uchukuwe madaraka muone , muondowe haya majeshi yenu yaliyojaa kila mtaa mwaka mmoja mwingi mtaona nchi itavyobadilika , tutavyopiga hatua mbali.
Uvamizi wenu mumeirudisha nchi miaka 700 nyuma kabla uvamizi wa mreno
Sasa unabisha nini kama sio Mandate?Mimi siongei South Africa naongelea nchi niliyozaliwa ambayo huyo mfalme nilimkuta akitawaliwa na Muingereza. Tulikwenda kudai uhuru kwa muingereza na sio kwa mfalme , usibabaishe watu. Mfalme alikuwa ni figure tu hana mamlaka yoyote .
Sheria zote ni za Muingereza
Umegusia minor social development na wala hukugusia economic development.
Wabara wanaokuja huko ni hopeless walioshindwa kuendelea.
Pia embu piga sensa,waliojazana kwa wenzake nani kama sio Wapemba!?
Wapemba mamilioni mmehamia Tanzania na mnazaliana kichizi.
Yani tukiamua kufanya sensa wabara walioko Unguja hata milioni hawafiki.
Ila wapemba mlio bara zaidi ya milioni mbili.
Pia jiulize kwanini matajiri wa kipemba hupenda kuwekeza bara?
Kwasababu bara kuna nguvu kazi na potentials of adjustment.