Mauritius wana nini Zanzibar tushindwe?

Mauritius wana nini Zanzibar tushindwe?

Badi unaziamini hizo takwimu ulizopewa na CCM ??

Utalii ulianza wakati wa Salmini , na kabla hapo unafikiri uchumi wa Zanzibar ulikuwa vipi ??

Huo utalii haujamnyua mwananchi wa kawaida, umasikini umezidi baada huo utalii kuliko kabla utalii.

Mimi hizo takwimu hata siziangalii najua ni uongo mtupu

wewe endelea kulishwa matango pori
Unataka mtalii apitishe pesa ya matumizi kwa kila Mzanzibari mkononi..?? Apite nyumba hadi nyumba..?? Ndio uone impact ya utalii..??
 
Unataka mtalii apitishe pesa ya matumizi kwa kila Mzanzibari mkononi..?? Apite nyumba hadi nyumba..?? Ndio uone impact ya utalii..??

ndio nikakuambia wewe soma hizo takwimu wanazokulisha CCM , uzifurahie huku akina Seif Idd wana nyumba zaidi ya 20
 
ndio nikakuambia wewe soma hizo takwimu wanazokulisha CCM , uzifurahie huku akina Seif Idd wana nyumba zaidi ya 20
Bro, sasa mbona haueleweki hoja zako, unabaki kuimba taarabu tu

Unataka uchumi wa Zanzibar ukue kwa kutegemea nini hasa... Unataka nini hasa kifanyike ili Zanzibar iwe imara kiuchumi..??
 
Bro, sasa mbona haueleweki hoja zako, unabaki kuimba taarabu tu

Unataka uchumi wa Zanzibar ukue kwa kutegemea nini hasa... Unataka nini hasa kifanyike ili Zanzibar iwe imara kiuchumi..??

Ili uchumi wa Zanzibar uwe imara ni lazima kwanza nchi iwe na mamlaka Kamili . Ipate viongozi waliochaguliwa na watu . Sio hawa walafi waongo waliowekwa na Magufuli . Wawe na responsibility na washitakiwe wanapokosea . Iwajuwe raia wake .

Hivi sasa watu wanaingia wakitoka kama choo cha public huwezi ukainua uchumi hata siku moja .
 
Utajiri wa Zanzibar ni akili na akhlak ambayo wengi wa Watanganyika hawana , ni wezi na walevi

Nani alikuambia wazanzibari wengi ni illiterate. Hizo Dubai , Musxcat zimejengwa na wazanzibari kwa Taarifa yako.
Tukisema tuvunje muungano kila kitu kitarudi kuwa zero ZNZ. Mtaishia kubebwa na nchi za kiarabu huku sisi tutazinduwa beach zetu kuanzia Mtwara mpaka Tanga. Tutafungua nude beaches kwa ajili ya watalii naturlists ukijumlisha na mbuga za wanyama ni full kupiga hela. Ndani ya miaka mitano Tanganyika itakuwa kama South Afrika.
 
Ili uchumi wa Zanzibar uwe imara ni lazima kwanza nchi iwe na mamlaka Kamili . Ipate viongozi waliochaguliwa na watu . Sio hawa walafu waongo . Iwajuwe raia wake . Hivi watu wanaoingia wakitoka kama choo cha public huwezi ukainua uchumi hata siku moja .
Huna akili
 
Tukisema tuvunje muungano kila kitu kitarudi kuwa zero ZNZ. Mtaishia kubebwa na nchi za kiarabu huku sisi tutazinduwa beach zetu kuanzia Mtwara mpaka Tanga. Tutafungua nude beaches kwa ajili ya watalii naturlists ukijumlisha na mbuga za wanyama ni full kupiga hela. Ndani ya miaka mitano Tanganyika itakuwa kama South Afrika.
Kwani ni Zanzibar imetukataza kufanya hao sasa hivi?
 
Tukisema tuvunje muungano kila kitu kitarudi kuwa zero ZNZ. Mtaishia kubebwa na nchi za kiarabu huku sisi tutazinduwa beach zetu kuanzia Mtwara mpaka Tanga. Tutafungua nude beaches kwa ajili ya watalii naturlists ukijumlisha na mbuga za wanyama ni full kupiga hela. Ndani ya miaka mitano Tanganyika itakuwa kama South Afrika.
Hizo beach anzeni hivi sasa kuzifunguwa au tuliwazuia wazanzibari??
 
Hizo beach anzeni hivi sasa kuzifunguwa au tuliwazuia wazanzibari??
Si mna mama sasa hivi anawauzia waarabu kila kitu. Hao waaarabu wenyewe wanabaguana wao kwa wao. Ukienda uarabuni kuna koo za kiarabu zinatreatiwa vibaya sana. Muulize Mo kwa nini ukoo wao umekimbia Gujirati. Dunia ina mambo mengi sana tatizo watanzania tumejifungua ukisafiri ndio utaona mengi. Unampa Bandari mtu ambaye nchi yake haina hata kitengo cha missionary. Nimekutana na wajerumani huku wamefungua zahanati dodoma, Wataliano wamefungua zahanati Kilosa na nimekutana na waswisi wamefungua zahanati bukoba na wanajitahidi kila mwaka kuzitembelea. Hakuna mwarabu anaeweza kufanya hivi. Wanaishia kutoa misaada ya misikiti na madrasa.
 
Si mna mama sasa hivi anawauzia waarabu kila kitu. Hao waaarabu wenyewe wanabaguana wao kwa wao. Ukienda uarabuni kuna koo za kiarabu zinatreatiwa vibaya sana. Muulize Mo kwa nini ukoo wao umekimbia Gujirati. Dunia ina mambo mengi sana tatizo watanzania tumejifungua ukisafiri ndio utaona mengi. Unampa Bandari mtu ambaye nchi yake haina hata kitengo cha missionary. Nimekutana na wajerumani huku wamefungua hostpitali dodoma, Wataliano wamefungua hospitali Kilosa na nimekutana na waswisi wamefungua zahanati bukoba na wanajitahidi kila mwaka kuzitembelea. Hakuna mwarabu anweza kufanya hivi. Wanaishia kutowa misaada ya misikiti na madrasa.

Hivi mama alimuuzia mwarabu beach ipi huko Tanganyika ?? Mbona kuna wengi mnaobaguana , wengine wanasema hawataki uraisi apewe mchaga ?? huo si ubaguzi ??
 
Back
Top Bottom