Ahyan
JF-Expert Member
- Jun 7, 2019
- 2,310
- 5,482
Unataka mtalii apitishe pesa ya matumizi kwa kila Mzanzibari mkononi..?? Apite nyumba hadi nyumba..?? Ndio uone impact ya utalii..??Badi unaziamini hizo takwimu ulizopewa na CCM ??
Utalii ulianza wakati wa Salmini , na kabla hapo unafikiri uchumi wa Zanzibar ulikuwa vipi ??
Huo utalii haujamnyua mwananchi wa kawaida, umasikini umezidi baada huo utalii kuliko kabla utalii.
Mimi hizo takwimu hata siziangalii najua ni uongo mtupu
wewe endelea kulishwa matango pori