Mauzo ya kitabu cha kumchafua Hayati Magufuli yadoda

Mauzo ya kitabu cha kumchafua Hayati Magufuli yadoda

Imethibitika Sasa rasmi kwamba kijitabu kinachoitwa I'm the State kilichoandaliwa na mafisadi kwa ajili ya kumchafua Rais wa awamu ya tano Hayati Magufuli na legacy yake mauzo yake yamedoda mtaani baada ya kupuuzwa na Watanzania.

Hao waandishi uchwara walishaonywa mara nyingi kwamba hamna nguvu wa pesa itakayomchafua Magufuli, Watanzania siyo vilaza kama watu wa ufipa walivyo wanajua yupi ni kondoo na yupi ni mbwa mwitu ndani ya ngozi ya kondoo.

Hao waandishi vilaza wanajua fika legacy ya Magufuli ipo kila mahali, baharini na nchi kavu, angani na aridhini, bungeni na serikalini na inaendelea kwa kasi ya ajabu.
Nilidhani huku kwetu bado hakijafika;
Nimekuwa nikiulizia mara kwa mara kwenye maduka ya vitabu bila mafanikio. Mungu anipe uhai nikisome; nikiwa hai lazima nitakusoma hata wakipiga marufuku kama walivyokuwa wakifanya miaka ile.
 
Hamna agenti wa kukinunua na kukileta huko
 
Punguza utoto MTanzania Gani huwa anasoma vitabu? Hiko kitabu kimeandikwa kwa lugha ya kiingereza meaning wanalenga aina Fulani ya soko sio nyie wacheza singeli wa Tandika. Ni kama tu kitabu Cha Mkapa au Mwinyi unadhani hoehae kama wewe unaweza nunua nakala kwa elfu 80?

Msijipe umuhimu ambao hamna, hivyo vitabu kwa taarifa Yako wamenunua hao viongozi wa serikali na decision makers wa private sector maana ndio target market sio nyie wamachinga. After all hata kingekua kinamsifia JPM wewe una hiyo elfu 80?
Kwa nini asiwe nayo ?
 
Imethibitika Sasa rasmi kwamba kijitabu kinachoitwa I'm the State kilichoandaliwa na mafisadi kwa ajili ya kumchafua Rais wa awamu ya tano Hayati Magufuli na legacy yake mauzo yake yamedoda mtaani baada ya kupuuzwa na Watanzania.

Hao waandishi uchwara walishaonywa mara nyingi kwamba hamna nguvu wa pesa itakayomchafua Magufuli, Watanzania siyo vilaza kama watu wa ufipa walivyo wanajua yupi ni kondoo na yupi ni mbwa mwitu ndani ya ngozi ya kondoo.

Hao waandishi vilaza wanajua fika legacy ya Magufuli ipo kila mahali, baharini na nchi kavu, angani na aridhini, bungeni na serikalini na inaendelea kwa kasi ya ajabu.
Hakika
 
Hadi wafike wanunuzi 5m labda ipite miaka 3 ! Sasa hapo wauze kila mwezi vitabu 138! Hapo kila mwezi watapata 1.1m then wagawane kuanzia printing na authors zaidi ya wanne! Hapo watalamba elfu 50 kila mwezi!

Mantiki yangu hii si kazi ya biashara maana wanajua wasomaji ni wachache tena wenye chuki ila umma kwa mapana wanamkubali JPM na hawatosoma hayo makitu. Hii kazi ni sehemu ya projects za kushughulikia maiti wala sio CCM wala waliokuwa wasaidizi wake.
This is biased analysis, kwani tunaosoma vitabu vinavyomkosoa Nyerere hatumpendi Nyerere? Kila mtu huwa yupo curious kujua pande mbili za watu.

Hata CCM watanunua wengi Ili kuona JPM anazungumziwaje kwa muktadha hasi. Ni sawa na Biblia inasomwa sana na wanazuoni wa Quran and vice versa Ili kupata counter-knowledge and comparative analysis.

Kingine nmekwambia kinasomwa na academics, diaspora na political class Nia ni kwamba kisomwe na key decision makers. Sasa unataka kusema political class na academicians hawafiki elfu 5 hii nchi?

Embu tuache kuwa biased kwenye ukweli. Hata Mimi binafsi simpendi JPM lakini hakuna hotuba yake hata Moja sikuwahi sikiliza!!
 
Back
Top Bottom