Mauzo ya kitabu cha kumchafua Hayati Magufuli yadoda

Mauzo ya kitabu cha kumchafua Hayati Magufuli yadoda

Hakika mtu yule alikuwa mwovu na kwa kufa kwake Taifa lilitakasika.

Imethibitika Sasa rasmi kwamba kijitabu kinachoitwa I'm the State kilichoandaliwa na mafisadi kwa ajili ya kumchafua Rais wa awamu ya tano Hayati Magufuli na legacy yake mauzo yake yamedoda mtaani baada ya kupuuzwa na Watanzania.

Hao waandishi uchwara walishaonywa mara nyingi kwamba hamna nguvu wa pesa itakayomchafua Magufuli, Watanzania siyo vilaza kama watu wa ufipa walivyo wanajua yupi ni kondoo na yupi ni mbwa mwitu ndani ya ngozi ya kondoo.

Hao waandishi vilaza wanajua fika legacy ya Magufuli ipo kila mahali, baharini na nchi kavu, angani na aridhini, bungeni na serikalini na inaendelea kwa kasi ya ajabu.
Hiki kitabu kitanunuliwa na mafisadi, walamba asali, majizi, wauza madawa ya kulevya, wafanyabiashara wa siasa, vyeti feki, wakwepa kodi, wadhulumaji, mashoga, wapigaji
 
Hiki kitabu kitanunuliwa na mafisadi, walamba asali, majizi, wauza madawa ya kulevya, wafanyabiashara wa siasa, vyeti feki, wakwepa kodi, wadhulumaji, mashoga, wapigaji
Hakiwezi kuknunuliwa na waabudu mizimu, wafuasi wa lile shetani la Chato na walinda legacy waliyoachiwa ya matusi.
 
Takukuru wa wa chunguze hao waandishi Kama hawajala rushwa na aliyewalipa naye ajulikane,siyo kwa aibu hiyo.
 
Back
Top Bottom