Mauzo ya kitabu cha kumchafua Hayati Magufuli yadoda

Nilidhani huku kwetu bado hakijafika;
Nimekuwa nikiulizia mara kwa mara kwenye maduka ya vitabu bila mafanikio. Mungu anipe uhai nikisome; nikiwa hai lazima nitakusoma hata wakipiga marufuku kama walivyokuwa wakifanya miaka ile.
 
Nilidhani huku kwetu bado hakijafika;
Nimekuwa nikiulizia mara kwa mara kwenye maduka ya vitabu bila mafanikio. Mungu anipe uhai nikisome; nikiwa hai lazima nitakusoma hata wakipiga marufuku kama walivyokuwa wakifanya miaka ile.
Hamna agenti wa kukinunua na kukileta huko
 
Kwa nini asiwe nayo ?
 
Nakuahidi kitabu hicho kitakuja kuwa rejea muhimu kwa historia ya kisiasa ya nchi hii.
Nakuahidi kitapigwa ban kisichapishwe Tena.

Kopi zilizopo zitakua vifungashio vya maandazi.
 
Hakika
 
This is biased analysis, kwani tunaosoma vitabu vinavyomkosoa Nyerere hatumpendi Nyerere? Kila mtu huwa yupo curious kujua pande mbili za watu.

Hata CCM watanunua wengi Ili kuona JPM anazungumziwaje kwa muktadha hasi. Ni sawa na Biblia inasomwa sana na wanazuoni wa Quran and vice versa Ili kupata counter-knowledge and comparative analysis.

Kingine nmekwambia kinasomwa na academics, diaspora na political class Nia ni kwamba kisomwe na key decision makers. Sasa unataka kusema political class na academicians hawafiki elfu 5 hii nchi?

Embu tuache kuwa biased kwenye ukweli. Hata Mimi binafsi simpendi JPM lakini hakuna hotuba yake hata Moja sikuwahi sikiliza!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…