Mauzo ya kitabu cha kumchafua Hayati Magufuli yadoda

Yaani hawa wapuuzi kweli na inaonyesha uwezo wao wa kufikiri ni mdogo sana
 
Ushauri mzuri sana huu utakuwa umewafikia bara bara.
 
Kwanini hofu na makasiriko yawe kwa majizi na chawa wao tu?

Sisi wananchi wa kawaida hatuna ugomvi na kazi za Magufuli.
Huyo Magufuli mwenyewe ni mwizi alimfukuza CAG baada ya kumwambia ukweli kuwa ktk ofisi ya rais kulipotea fedha Tsh.1.5 tilion. Magufuli hakuwa tuu jizi bali aliwatungia hadi sheria majizi yanzake yasishitakiwe. Akina sabaya makonda na mengineyo ni genge la Magufuli.
 
Uongozi wa kishujaa na vitendo sio ongea nyiiingi na hakuna la maana, ndio haswaa tunachoweza kutetea bila kujali upumbavu wa wawapumbavu
Magufuli alikuwa mpumbavu anayesifiwa na wapumbavu. Sijawahi hata kuyaona hayo yanayoitwa madawq ya kulevya. Sijawahi kufika hapo panapoitwa ufipa,sina vyeti feki wala sili rushwa na siyo fisadi ila nasema Magufuli alikuwa mfano wa kiongozi mbaya
 
Kila utawala una mazuri na mabaya yake, Magufuli nitamkumbuka sana kwa miradi yake mikubwa ila ukweli utabaki pale pale ALIRUNDIKA MIRADI MIKUBWA sana kijijini kwake bila kuzingatia uwezo wa kijiji.

Kama wewe ni chuki je miradi inayotajwa katika kitabu hicho inaendeleaje? Imesemama au imekufa au inasonga?
 
Hicho hata wakinipa bure nachoma moto.
 
Eti watanzania siyo vilaza kama watu wa ufipa..!! HUNA AKILI, HAO UNAOWAITA WA UFIPA NI WANANCHI WA NCHI GANI? Hopeless kabisaa
 
Kama gaidi mlamba asali
Hoja hujibiwa kwa hoja bwana kulwa jilalla siyo matusi. Wala sijui gaidi kaingiaje wakati siyo mwandishi wa kitabu
Vilichapishwa vitabu vingapi?

Vimeuzwa vingapi?

Lengo lilikuwa viuzwe vingapi hadi unaandiKa?

Je watz wana utamaduni wa kusoma na kununua vitabu?

Nani alikuambia kitabu matzo yamedoda?

Ulikuwa unataka kujua nini?

Ukiyajibu haya utaonekana mwelevu kulwa vinginevyo wewe ni kasuku tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…