Liwagu
JF-Expert Member
- Jan 25, 2017
- 5,593
- 6,754
Sio yeyetu,hatamimi sisomi ujinga kama ule.Sasa kama wewe husomi kwanini unawasemea wengine?..Hawakukuandikia weww kwahiyo waache walioandikiwa watajua wenyewe.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio yeyetu,hatamimi sisomi ujinga kama ule.Sasa kama wewe husomi kwanini unawasemea wengine?..Hawakukuandikia weww kwahiyo waache walioandikiwa watajua wenyewe.
Sema huna hela
Imethibitika Sasa rasmi kwamba kijitabu kinachoitwa I'm the State kilichoandaliwa na mafisadi kwa ajili ya kumchafua Rais wa awamu ya tano Hayati Magufuli na legacy yake mauzo yake yamedoda mtaani baada ya kupuuzwa na Watanzania.
Hao waandishi uchwara walishaonywa mara nyingi kwamba hamna nguvu wa pesa itakayomchafua Magufuli, Watanzania siyo vilaza kama watu wa ufipa walivyo wanajua yupi ni kondoo na yupi ni mbwa mwitu ndani ya ngozi ya kondoo.
Hao waandishi vilaza wanajua fika legacy ya Magufuli ipo kila mahali, baharini na nchi kavu, angani na aridhini, bungeni na serikalini na inaendelea kwa kasi ya ajabu.
Nasema bila kumung’unya maneno! JPM alikuwa kama masiha kwa nchi hii. Kufika 2025 nchi hii itakuwa hoi na kila mmoja wetu atakubali kuwa JPM was special.
Imethibitika Sasa rasmi kwamba kijitabu kinachoitwa I'm the State kilichoandaliwa na mafisadi kwa ajili ya kumchafua Rais wa awamu ya tano Hayati Magufuli na legacy yake mauzo yake yamedoda mtaani baada ya kupuuzwa na Watanzania.
Hao waandishi uchwara walishaonywa mara nyingi kwamba hamna nguvu wa pesa itakayomchafua Magufuli, Watanzania siyo vilaza kama watu wa ufipa walivyo wanajua yupi ni kondoo na yupi ni mbwa mwitu ndani ya ngozi ya kondoo.
Hao waandishi vilaza wanajua fika legacy ya Magufuli ipo kila mahali, baharini na nchi kavu, angani na aridhini, bungeni na serikalini na inaendelea kwa kasi ya ajabu.
Huo uchafu ningepewa hata bure ningeenda kufungia dagaa na mandazi
Imethibitika Sasa rasmi kwamba kijitabu kinachoitwa I'm the State kilichoandaliwa na mafisadi kwa ajili ya kumchafua Rais wa awamu ya tano Hayati Magufuli na legacy yake mauzo yake yamedoda mtaani baada ya kupuuzwa na Watanzania.
Hao waandishi uchwara walishaonywa mara nyingi kwamba hamna nguvu wa pesa itakayomchafua Magufuli, Watanzania siyo vilaza kama watu wa ufipa walivyo wanajua yupi ni kondoo na yupi ni mbwa mwitu ndani ya ngozi ya kondoo.
Hao waandishi vilaza wanajua fika legacy ya Magufuli ipo kila mahali, baharini na nchi kavu, angani na aridhini, bungeni na serikalini na inaendelea kwa kasi ya ajabu.
Kawaulize vyeti feki, wakwepa kodi, mafisadi, wahujumu uchumi, walamba asali, majizi, wauza madawa ya kulevya, wafanyabiashara wa siasa wanajitafutia kipato kwa njia ya halali na isiyo halaliKinapatikana wapi ?
UmepanikiKawaulize vyeti feki, wakwepa kodi, mafisadi, wahujumu uchumi, walamba asali, majizi, wauza madawa ya kulevya, wafanyabiashara wa siasa wanajitafutia kipato kwa njia ya halali na isiyo halali
Yuko sahihiUmepaniki
Umemchana ukweliKawaulize vyeti feki, wakwepa kodi, mafisadi, wahujumu uchumi, walamba asali, majizi, wauza madawa ya kulevya, wafanyabiashara wa siasa wanajitafutia kipato kwa njia ya halali na isiyo halali
Hahaha safi sana mkuuHuo uchafu ningepewa hata bure ningeenda kufungia dagaa na mandazi
Hakuna shaka yeyote kwamba harakati hizi za kumchafua Hayati Magufuli,Rais wa awamu ya Tano,kipenzi Cha Watanzania,zimeandaliwa na Morons wa nchi za Magharibi,C.I.A na Mafisadi and given a green light by the current Government.Kuonyesha our opposition to them,we should by the books and burn them.
Imethibitika Sasa rasmi kwamba kijitabu kinachoitwa I'm the State kilichoandaliwa na mafisadi kwa ajili ya kumchafua Rais wa awamu ya tano Hayati Magufuli na legacy yake mauzo yake yamedoda mtaani baada ya kupuuzwa na Watanzania.
Hao waandishi uchwara walishaonywa mara nyingi kwamba hamna nguvu wa pesa itakayomchafua Magufuli, Watanzania siyo vilaza kama watu wa ufipa walivyo wanajua yupi ni kondoo na yupi ni mbwa mwitu ndani ya ngozi ya kondoo.
Hao waandishi vilaza wanajua fika legacy ya Magufuli ipo kila mahali, baharini na nchi kavu, angani na aridhini, bungeni na serikalini na inaendelea kwa kasi ya ajabu.
Kweli kabisaHakuna shaka yeyote kwamba harakati hizi za kumchafua Hayati Magufuli,Rais wa awamu ya Tano,kipenzi Cha Watanzania,zimeandaliwa na Morons wa nchi za Magharibi,C.I.A na Mafisadi and given a green light by the current Government.Kuonyesha our opposition to them,we should by the books and burn them.
Sifa kuu ya binadamu ni ubinafsi tunatofautiana katika viwango vya ubinafsi hata hao waandishi kinachowasumbua na kuwatesa ni ubinafsi tu mtu hawezi akakusifia isipokuwa kwa maslahi yake na pia hawezi kukuponda isipokuwa kwa maslahi yake yote haya kukupenda na kukuchukia ni "UBINAFSI"
Vijana kwa wazee, waliowahi kumchukia Hayati Magufuli, ni wapuuzi, wezi, mafisadi na wauza madawa, nani mwenye akili timamu ashadadie kijigazeti cha kijinga hicho?
Kila atakayekupendwa na watu dizaini yao, lazima awe kama wao, akubali nchi itafunwe, iwe jalala la madawa ya kulevya, wajinga wote walio kwenye msululu huo, awape uwaziri hata kama hamnazo!
Upuuzi huo uishie kwa wanaume wa Dar!
Asante sana kakaKitabu hakikuandikwa kwa wasomaji wa Tanzania. Kitabu kimeandikwa kumezesha Akili bandia na wale walioapa na wanaoapa kuendeleza Udhalimu dhidi ya Mtu mweusi. Period.
Naamini hata kingetafsiriwa kwa kiswahili, kingepata jicho na mtazamo huo huo unaosikika[uchafuzi] na hivyo ni Uchafu. Hakuna mtu mwenye akili anaweza kuamini uwongo, tena uwongo wa kutunga na kuunganishwa.
Ukiondoa Jina la Magufuli na ukaweka la Amini, stori ni ile ile. Ukiweka jina la Mobutu Wazabanga Seseko badala ya Hayat Rais na ukaondoa Chato na kuweka gdabolite, stori bi ile ile!
Dispeakable.
Tupe faida ya kukisomaSasa kama wewe husomi kwanini unawasemea wengine?..Hawakukuandikia weww kwahiyo waache walioandikiwa watajua wenyewe.
Mkuuu ili hao wapumbavu wapate Mauzo.