JackisonDubai
JF-Expert Member
- Mar 27, 2023
- 537
- 1,282
- Thread starter
- #121
Nyumbu wote wanajua kilipoAsante kwa kukitangaza mkuu
Na mm nakitafuta
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nyumbu wote wanajua kilipoAsante kwa kukitangaza mkuu
Na mm nakitafuta
tumekinunu sana kupita maelezo
Imethibitika Sasa rasmi kwamba kijitabu kinachoitwa I'm the State kilichoandaliwa na mafisadi kwa ajili ya kumchafua Rais wa awamu ya tano Hayati Magufuli na legacy yake mauzo yake yamedoda mtaani baada ya kupuuzwa na Watanzania.
Hao waandishi uchwara walishaonywa mara nyingi kwamba hamna nguvu wa pesa itakayomchafua Magufuli, Watanzania siyo vilaza kama watu wa ufipa walivyo wanajua yupi ni kondoo na yupi ni mbwa mwitu ndani ya ngozi ya kondoo.
Hao waandishi vilaza wanajua fika legacy ya Magufuli ipo kila mahali, baharini na nchi kavu, angani na aridhini, bungeni na serikalini na inaendelea kwa kasi ya ajabu.
Ni majinga hayaelewiHuwa tunawaambia hapa, the two best presidents of our country ni:
• Mwl Julius Kambarage Nyerere (Baba wa Taifa)
• Mwl John Pombe Magufuli (Baba wa Uchumi)
Uko sahihiHakuna anayeweza kumchafua JPM. Hata kama atawanunulia Watanzania Bia wanywaji wote Tanzania nzima au hata kama atawaingizia fedha kiasi gani kwenye Account zao Watanzania wote lakini hataweza kumchafua JPM.
Never.
Sasa mbona mnaweweseka?Hiyo takataka hakuna mtu anasoma.
Yani ile takataka inauzwa elfu 80?Punguza utoto MTanzania Gani huwa anasoma vitabu? Hiko kitabu kimeandikwa kwa lugha ya kiingereza meaning wanalenga aina Fulani ya soko sio nyie wacheza singeli wa Tandika. Ni kama tu kitabu Cha Mkapa au Mwinyi unadhani hoehae kama wewe unaweza nunua nakala kwa elfu 80?
Msijipe umuhimu ambao hamna, hivyo vitabu kwa taarifa Yako wamenunua hao viongozi wa serikali na decision makers wa private sector maana ndio target market sio nyie wamachinga. After all hata kingekua kinamsifia JPM wewe una hiyo elfu 80?
Ila mnampenda sana Marehemu. Yule jamaa angewageuza marehemu kama Mchungaji Mackenzie.
Natafuta kile kitabu nikisome, ule upembuzi uliopoatiwa hapa jukwaani ulikua murua sana.
Kilichozungumzwa mle ni facts tupu kwa ile session Moja TU niliyosoma
NAPE na genge lake
Imethibitika Sasa rasmi kwamba kijitabu kinachoitwa I'm the State kilichoandaliwa na mafisadi kwa ajili ya kumchafua Rais wa awamu ya tano Hayati Magufuli na legacy yake mauzo yake yamedoda mtaani baada ya kupuuzwa na Watanzania.
Hao waandishi uchwara walishaonywa mara nyingi kwamba hamna nguvu wa pesa itakayomchafua Magufuli, Watanzania siyo vilaza kama watu wa ufipa walivyo wanajua yupi ni kondoo na yupi ni mbwa mwitu ndani ya ngozi ya kondoo.
Hao waandishi vilaza wanajua fika legacy ya Magufuli ipo kila mahali, baharini na nchi kavu, angani na aridhini, bungeni na serikalini na inaendelea kwa kasi ya ajabu.
DadekiHapa kariakoo kinauzika kweli hiki kijitabu "Am the state" Majuzi nimeshuhudia jamaa akiuza kopi 45, Najiandaa kutunga changu kwa jina la "I am the king Kong master, much know ambush ambush and everything is mine and no one deserves anything " aka mtalima kwa meno.
Tutajie kiongozi mzuri kuliko wote kwa TanzaniaMagufuli alikuwa mpumbavu anayesifiwa na wapumbavu. Sijawahi hata kuyaona hayo yanayoitwa madawq ya kulevya. Sijawahi kufika hapo panapoitwa ufipa,sina vyeti feki wala sili rushwa na siyo fisadi ila nasema Magufuli alikuwa mfano wa kiongozi mbaya
Acha ujumuishi we mbwigaMagufuli alipendwa na anasifiwa na
Watu wasiomjua tangu akiwa naibu wqzir na wazir hata akaja kuwa raisi walikuwa hawamjui kwakuwa amaa hawakuwa wanafuatilia au hawakuwa na access ya magazeti, simu na bundles.
Ndio maana hamuuziwi nyie makapuku kile kinasomwa na academicians na political class so wakipata wateja elfu 5 tu ni zaidi ya million 40!Yani ile takataka inauzwa elfu 80?
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Acheni masihara jamani
Kwani wewe ndiye publisher?