Mauzo ya kitabu cha kumchafua Hayati Magufuli yadoda

Mauzo ya kitabu cha kumchafua Hayati Magufuli yadoda

Mkuuu ili hao wapumbavu wapate Mauzo.

Labda mafisadi watoke wavinunue vyoteee, alafu wakavichome.

Waseme ,Vimenunuliwa.

Mimi huku Sijaona hata mtu mwenye kukizungumzia [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sasa huko Gambush nani anunue anaejua kusoma na kuelewa
 
Hakuna shaka yeyote kwamba harakati hizi za kumchafua Hayati Magufuli,Rais wa awamu ya Tano,kipenzi Cha Watanzania,zimeandaliwa na Morons wa nchi za Magharibi,C.I.A na Mafisadi and given a green light by the current Government.Kuonyesha our opposition to them,we should by the books and burn them.
Hachafuliwi alijichafua kwa kujinyea kwenye suruali aliyokua amevaa
 
Rais Magufuli hachafuki.

wabaya wake wanapaswa waendelee na shughuli zao za kupambana na hali zao.

kama kuwakomesha aliwakomesha na wakawa wadogo zaidi ya piriton

ushauri wangu wasiendelee kupambana na mtu ambaye hayupo bali wapambane na hali zao.
Alikomeshwa yeye pumbavu zake.
 
Huwezi kumchafua mtu aliejenga nchi yake kwa moyo wa dhati...angalia project alizoacha...
Sasa waulize hao wanaojiita waandishi wa habari na masponsor wao wameifanyia nini nchi?...
Ndio maana hao wanaojiita wahariri..Meena na wenzie ni takataka tu chini ya jua hili...
Chato empire.
 
Nina mpango wa kuandaa Cha kueleza uzuri wa yule Mwamba licha ya Udhaifu wake lakini alikuwa na Mazuri yake.Kila mmoja ana Udhaifu wake na ndio ubinadamu kuanzia Nyerere,Mwinyi,Mkapa na Kikwete Kila mmoja alikuwa na uzuri wake na mapungufu yake na ndio ubinadamu .Lakini kitendo Cha kuacha kutengeneza Mazuri yako na kukomaa na Mwendazake ni upuuzi mtupu.Kama unaona Kuna sehemu Mwendazake alikwama basi wewe uliyeshika kijiti jitahidi usikwame.
Lakini Magufuri alizidi kwa mabaya.
 
Kwa taarifa yako mambo positive aliyofanya JPM yapo wazi kitabu cha nini kwa mfano ? na yataendelea kuishi kizazi kwa kizazi...
Tusubiri Rais Samia nae aandike ya kwake kwenye mioyo ya watu....
Amekwishakufa na upumbavu wake.
 
Kwani nani amekataza mimi nisifariki?Unapoua watu kwa makusudi kwa sababu umepewa mamlaka basi wewe ni takataka,ndivyo huyo mwehu wenu alivyo ni takataka ambayo haijawahi kutokea Tanzania na haitatokea tena maana Watanzania wamejifunza ni bora mzungu atawale nchi kuliko takataka ile.
kufa sio kukomeshwa kwa sababu hata wewe utakufa
 
Huwezi kumchafua mtu aliejenga nchi yake kwa moyo wa dhati...angalia project alizoacha...
Sasa waulize hao wanaojiita waandishi wa habari na masponsor wao wameifanyia nini nchi?...
Ndio maana hao wanaojiita wahariri..Meena na wenzie ni takataka tu chini ya jua hili...

Watateseka sana wakitaka kumuua Magufulia. Hawataweza kumuua Magufuli asilani. Wanapomtungia vitabu vya hila ndivyo wanavyomuinua.
 
Kwani nani amekataza mimi nisifariki?Unapoua watu kwa makusudi kwa sababu umepewa mamlaka basi wewe ni takataka,ndivyo huyo mwehu wenu alivyo ni takataka ambayo haijawahi kutokea Tanzania na haitatokea tena maana Watanzania wamejifunza ni bora mzungu atawale nchi kuliko takataka ile.
ulikuwa unaua nae?

wewe ni mfano wa watu ambao mnafungwa kwa sababu ya kuongea mambo msiyoweza kuyathibitisha.
 
ulikuwa unaua nae?

wewe ni mfano wa watu ambao mnafungwa kwa sababu ya kuongea mambo msiyoweza kuyathibitisha.
Mungu ni shahidi hata mmtetee,hata mtafute ushahidi wa kutunga,hata mmulinde vipi lakini ukweli utasimama pale pale kwani matendo yake ni mhuri.
 
Kwani nani amekataza mimi nisifariki?Unapoua watu kwa makusudi kwa sababu umepewa mamlaka basi wewe ni takataka,ndivyo huyo mwehu wenu alivyo ni takataka ambayo haijawahi kutokea Tanzania na haitatokea tena maana Watanzania wamejifunza ni bora mzungu atawale nchi kuliko takataka ile.

Hivi kwanza wewe una umri gani unayeongea ugolo kiasi hiki.
 
Sio kila gazeti ni la kusoma na si kila jambo ni la kubisha. Fanya tafiti mwenyewe ili usipotoshwe.
 
Back
Top Bottom