Mavazi ya kikahaba yanikosesha kupata mume

Wapo ma she wanavaa ajabuajabu ila hawana roho mbaya na tabia zao zimenyooka..nishawahi ona she za hivyo mingi tu.

Lakini kwanini unatukosea tutajadili vp bila macho kupata chakula yake? Unatukosea sana ☹️
pole babu!
 
tunaongelea malaya walioolewa bwana acha wazimu!
 
amen brother!
 
Biblia sio dhaifu!
 
hakika kwa kiasi flan mavazi nitafsiri ya mtu,japo wengine niuzungu tu ila yatupasa kujistiri
 
Bado una utoto sana kaangalie wazazi wako wanavaaje kwanza.

Hayo mavazi Kwa kutumia akili tu huwezi kuvaa .

Wiki iliyopita tulienda kuzika tulikuwepo mpaka kweny ibada Kwa vile ni mfanyakazi mwenzetu, watu wa dini zote .


Ninachoshangaa wadada kama wote wamevaa hayo mavazi yao ila wanajihstukia mara wafunge kanga miguuni mara hivi ,yaani hawapo comfortable kabisa na wametoka kwao hivyo hivyo ...Sasa yote hayo ya nn?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…