Mavazi ya Mchungaji Tony Kapola yachunguzwe

Hakika hii ntaish nayo, Habar za kusema tabia sio mavazi mara Yesu anaangalia moyo ni Unafiki kabisa.
 
Hua Na mashaka Nae ....mahubiri yake sanasana hua motivation speech Na watumishi matapelii hua wanakimbilia humo motivation speaking kuhusu kutajirika Bora mwamposa ye ameona asiwe mnafiki kanisani kwake hakuna mahubiri Ni maombezi Na sadaka......A true man of God Hua anapreach about kingdom of God Na habari za wokovu Na kuwaasa watu waache dhambi Na kutubu
 
Mavazi ni index ya tabia ya ndani.
Ukivaa kihuni maana yake kuna correlation kati ya uhuni na mavazi yako.

Hii ni universal principle sio kitu cha kujadili. Kuvaa ni tendo. Na Yesu anasema utawatambua kwa matendo yao.
Nakubaliana Na wewe....Kwa harakaharaka utagundua Tabia za mtu Kwa kumwangaliavazi yake Na maongezi yake
 
weka picha yake mkuu
 
Hakika uko sahih, Haya makanisa ya Kina Tony, kina Mamposa na Wahuni wa aina yake ni kwajil ya Mafisadi, Wazinzi, Wachawi, Wajinga na Malaya.
 
Sijaelewa nani anatongozwa na nani anatongoza, Any way umethibitisha kuna Kugongana baina ya Wachungaji na Waumini.
Unaforce mawazo yako
Waumini baadhi wanamtongoza mchungaji lakini yeye anawakataa

Nimetumia lugha nyepesi usipoelewa basiiii
 
Unaforce mawazo yako
Waumini baadhi wanamtongoza mchungaji lakini yeye anawakataa

Nimetumia lugha nyepesi usipoelewa basiiii
Aaah ashazipiga sana wacha apumzike bila shaka anawakataa Wabovu wabovu, wakali anakula kimya kimya🤣
 
Mtoa mada sioni kama una hoja ya msingi, kama suti ni kipimo cha utu wema jichunguze...
Mimi sijataja vazi mkuu. Ngoja nifike nyumbani nizitupie muone
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…