tpaul
JF-Expert Member
- Feb 3, 2008
- 24,225
- 22,632
- Thread starter
- #121
Hapa hakuna mchungaji bali mchumaji. Anachuma sadaka za akina mama na kujitajirisha binafsi.Kwani zile truck suti zinaonyesha maumbile?View attachment 2995121
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapa hakuna mchungaji bali mchumaji. Anachuma sadaka za akina mama na kujitajirisha binafsi.Kwani zile truck suti zinaonyesha maumbile?View attachment 2995121
wengi wenye tattoo ni za enzi za ujananiNadhani wanaendana na ulokole mpya maana ukiangalia kwa America
Pastors vijana huwa wanavaa kawaida sana, na hata baadhi ya singers wana tatoo.
Kwa hiyo wanaiga tu au la ndio tuite standards za ulokole mpya.
Kanisa lina partner? Hiyo 20M anatoa ya nini? Na vipini anauza vya niniNina ndugu yangu mmoja ni partner wa kapola(partners ni watu wake wa karibu kabisa, wanatoa michango mikubwa mikubwa)
Akaniambia kuna partner anatoa 20M kila mwezi
Kuna vipini vinauzwa kanisani kwake 100k unaviweka kwenye shati/koti
Ana huduma kubwa sana
Kwani mbona nasikia naye kasoma rural development kwanini anashindwa kuajiriwa badala yake anakula pesa za akina mama maskini?Kapola anajua kwenda na beat na ni moja ya pastors wanaolijua neno vizurii...kiukweli ni milionea mkubwa miaka 3 ijayo! acha ale madhabauni waliosoma wakale maofisini..
kwani wew ukiajiriwa na serikali utalipwa mshahara kwa hela za kina nani??? kama sio kodi za vibibii na mama zetu wanaotafuta juani...Kwani mbona nasikia naye kasoma rural development kwanini anashindwa kuajiriwa anakula pesa za akina mama?
kuvaa jeans ni uhuni??? au lini kavaa mlegezo?? lini kavaa hereni??? wew kama ni mzee baki na uzee wako acha vijana waishi kisasa...Kwa hiyo mchungaji kuvaa kihuni wewe unaona sawa? Atawakanyaje wale waumini wanaovaa ovyo?
Kwanini sasa asitafute ajira ili allipwe kodi za kila mtu badala ya kutegemea sadaka za akina mama tu?kwani wew ukiajiriwa na serikali utalipwa mshahara kwa hela za kina nani??? kama sio kodi za vibibii na mama zetu wanaotafuta juani...
wew kama umeajiriwa endelea kupiga kaziii...kila mtu na uwezo wake wa kujiongeza kama umeamua kusubiri laki 3 mwisho wa mwezi endelea kusubiri.Kwanini sasa asitafute ajira ili allipwe kodi za kila mtu badala ya kutegemea sadaka za akina mama tu?
uwoya mtu sasa? 😁😁Uwoya mbona kachora tatoo juzi tu?
Nilipohoji kuhusu uvaaji wa mchungaji Tony Kapola kuna watu hususan wanawake walinivaa kwa ukali kwamba nina wivu niwaachie mchungaji wao, kwamba uvaaji wake ni wa kawaida, kwamba uvaaji wa kisasa kwa Watumishi wa Mungu sio tatizo. Binafsi niwaambie UTUMISHI WA MUNGU ni mgumu na unahitaji usiriaz kuliko wengi mnavyofikiri, Yohana alijinyima hadi kuvaa magunia na kula nzige jangwani mnafikiri utumishi ni mwepesi?
Tunarahisisha mno utumishi wa Mungu miaka hii ndio maana wahubiri nao wanahubiri injili mpya nyepesi ya kisasa iliyopakwa maneno matamu ya miujiza, utajiri na mafanikio, hawaihubiri ile injili pure ya Ufalme wa Mungu, ile ya kukemea dhambi kwa ukali wake.
Ndio maana tunaskia Watumishi wengine wanasema hata dukani sigara weka biashara sio ibada, wengine wanasema ndoa sikuiz sio mwili mmoja, wengine wameenda mbali na kusema pesa za majini sio haramu. Utumishi wa Mungu umeonekana ni simple tu hadi kina Irene Uwoya wanataka kufungua makanisa sasa huku bado miili imejaa tattoo.
Mwenyezi Mungu muumba wa mbingu na nchi anahitaji Watumishi VIELELEZO KWAO WAAMINIO. Katika uvaaji, unenaji, utendaji na mwenendo mzima wa maisha kwa ujumla
Kwa Mungu hakuna usasa, sheria zake ni zile zile WAACHE DHAMBI NA KUNIABUBU
Mahubiri ya utajiri, pesa, miujiza na mahusiano yasitutoe kwenye mstari, Mungu sio mrahisi kama tunavyoaminishwa na Watumishi hawa wa kisasa
Tunapaswa kusali kwa imani, kutubu, kufunga na kuomba, Tunapaswa kumuogopa Mungu na kumuabudu kweli. Tunapaswa kuyaheshimu madhabahu yake. Tunapaswa kutambua Mungu ni mtakatifu hadhihakiwi wala kuchanganywa na aina yoyote ya uchafu
Nawasilisha.
Kuna hao lakini pia kuna vijana wa sasa. Concept kubwa ipo kwa wengi kuona kuwa Mungu anaangalia ndani zaidi kuliko nje ndio maana wanaamua kuvaa wanavyotaka .. Ni sawa na Gospel ya Rose Muhando ilivyoanza, wengi walimkosoa kuwa anacheza kupita kiasi naye akajibu kuwa daudi alicheza hadi nguo zimvuka..wengi wenye tattoo ni za enzi za ujanani
tuliqmbiwa tutawatambua kwa matendo hatujaji ila tukiona matendo ya kigaigai bas hakika mtu huyo ni mgaigaiKuna hao lakini pia kuna vijana wa sasa. Concept kubwa ipo kwa wengi kuona kuwa Mungu anaangalia ndani zaidi kuliko nje ndio maana wanaamua kuvaa wanavyotaka .. Ni sawa na Gospel ya Rose Muhando ilivyoanza, wengi walimkosoa kuwa anacheza kupita kiasi naye akajibu kuwa daudi alicheza hadi nguo zimvuka..
Kwa hiyo hapo utaona kwa sasa, jila mtu anaangalia kifungu cha bible kinachomhalalishia anachokipenda, then anaishi nacho
Ndugu yako yupo njema sana! Kuna kitu ananufaika zaidi ya waumini wenzie? [emoji3]Nina ndugu yangu mmoja ni partner wa kapola(partners ni watu wake wa karibu kabisa, wanatoa michango mikubwa mikubwa)
Akaniambia kuna partner anatoa 20M kila mwezi
Kuna vipini vinauzwa kanisani kwake 100k unaviweka kwenye shati/koti
Ana huduma kubwa sana
Sasa matendo huwa wanaondoa muonekanotuliqmbiwa tutawatambua kwa matendo hatujaji ila tukiona matendo ya kigaigai bas hakika mtu huyo ni mgaigai