Mavazi ya Mchungaji Tony Kapola yachunguzwe

Those are Charlatans, cult and babalawos, Sijui watu wanatokana wapi na makanisa na wachungaji wa namna hiyo.

Hakuna roho wa Mungu hapo ni utapeli, uzinzi na uchawi tuu. Hao wanao washabikia usasa na ujanna ni sawa na hao hao tuu wote ni makanjanja na wababaishaji wa Injili uvivu umewajaa wanataka kujipatia fedha kwa njia ya kupotosha neno la Mungu na kufanya utapeli.
 
Sasa matendo huwa wanaondoa muonekano
hahaha wahuni huwa wanapenda kutafuta sababu za kuhalalisha uhuni wao ila sio kuacha uhuni mtu kama alikua na tattoo before au alikua katoboa masikio before sio issue issue ni kuendelea kuvaa hereni baada ya au kujidunga ma tatts baada ya
 
Ni kweli lakini tunaacha kuhukumu tu mkuu
 
Ohhoooohhh kumber wale ni wateja wake pale ni biznes centre?? Nikajua ni waumini wali katik safar ya kwenda mbinguni??
Nimetumia misamiati isiyo sahihi samahani kwa wote!

Kapola naona kajikita kwa waumini vijana, na ndio maana anavaa kama wao ili kuwavutia
Kwa mavazi yake ni ngumu kuwahubiria wazee na wakamuelewa..
 
Nimetumia misamiati isiyo sahihi samahani kwa wote!

Kapola naona kajikita kwa waumini vijana, na ndio maana anavaa kama wao ili kuwavutia
Kwa mavazi yake ni ngumu kuwahubiria wazee na wakamuelewa..
Anakuvutia wewe sio vijana wote. Mimi ni kijana ila simkubali mavazi yake. Usitafute sababu ya kujustify uhuni.
 
Nimetumia misamiati isiyo sahihi samahani kwa wote!

Kapola naona kajikita kwa waumini vijana, na ndio maana anavaa kama wao ili kuwavutia
Kwa mavazi yake ni ngumu kuwahubiria wazee na wakamuelewa..
Hata sisi vijana watu wazima hatuwez muelewa.
 
hao ni motivational speakers, sio wahubiri, ndio maana wasikilizaji wengi ni wanawake, wanacheka hadi jino la mwisho na wao wanajiona wanaongea vitu vya pointiiii. wala usiwaite wachungaji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…