Mavazi ya RC Makonda yazua utata akipokea salamu ya kijeshi

napata aibu kwa nchi yangu na yanayoendelea, mimi mtumishi wa umma wa mkoa wa DAR naiga nini kwa BASHITE?
 
Sioni tatizo lolote ktk mavazi ya RC hasa ukitilia maanani suala walilokuwa wanalisherehekea. Mavazi yake yanashabihiana sana na sherehe hiyo na kiwango cha akili kilichowekezwa ktk kupanga na utekelezaji wake, ukiupima kwa kupitia katiba ya jmt. Hawa jamaa wenye magwanda hawatakiwi kuonesha ushabiki wa kisiasa lakini pia hawatarajiwi kulinda uvunjaji was sheria (wizi na achakachuaji wa demokrasia)
 
Nna Mashaka Sana na uwezo wa ma Polisi Upstairs
 
hata kofia aiyovaa ni ya kihuni,t shirt ya kihuni,koti la kihuni ,mkanda wa kihuni naye mwenyewe amekaa kihunihuni,hata maaskari nao hasa huyo wa kike badala aangalie mbele naye anamtazama bashite kihunihuni tu yaan uhuni uhuni tu ila hata ,semeje huyu ni mteule wa jiwe katika jangwa la sahara
 
Mnawachagua wanawake wa kiume kuongoza kazi za wanaume madume.
 
MangeKimambi umemuona dogo wako
 
Hivyo ndivyo wanavyo stahili kufanyiwa kwa sababu wao wenyewe hawajitambui ,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…