Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
As long as DEDs (mostly wana CCM na wateule) wanasimamia chaguzi hizi, itakuwa story ni hii hii miaka yote. Bahati mbaya kila mtu anajua haya yatatokea but still tunaingia kwenye uchaguziUchaguzi una dalili zote za kwenda kama gari bovu!
Abiria Mungu atusaidie!!
NEC ndiyo ilitakiwa kuwa BOSS wa maDED lakini naona maDED ndio wanakuwa maBOSS. NEC inasema hivi maDED wanawavimbia na kuwagomea kwa kujua kuna mtu atawalinda.Uchaguzi una dalili zote za kwenda kama gari bovu!
Abiria Mungu atusaidie!!
Hivi hao wakurugenzi wa majiji na manispaa walipewa seminar kuhusu uchaguzi kuhusu mawakala? Ni aibu Sana...wakurugenzi ni waharibifu wakubwa sana wa mchakato wa uchaguzi.
Kabisa sasa wanaogopa niniCCM ni chama dhaifu sana
Nadhani Kadiri miaka inavyoenda mambo yameendelea kubadilika; Ishu za mawakala hazikuwa ishu sana miaka ya 2000 na 2005; Enzi hizo ishu ilikuwa kutangaza mmshindi, Sasa ivi hali inabadilika, mambo yanaanza kabla ya Uchaguzi, maana Loop hole ni chache sana.Bahati mbaya kila mtu anajua haya yatatokea but still tunaingia kwenye uchaguzi
Mkuu, unataka ccm wabaki wenyewe kama ilivyokuwa uchaguzi wa serikali za mitaa mwaka Jana, au? Kama ndivyo, tija yake ni nini?Bahati mbaya kila mtu anajua haya yatatokea but still tunaingia kwenye uchaguzi
Historia ya mgombea ubunge wa CHADEMA : 2015
M/kiti CWT aingia matatani kwa kuhudhuria mkutano wa Lowassa
Mwenyekiti wa Chama cha Walimu Tanzania (CWT) Wilaya ya Chato mkoani Geita, ameshtakiwa kwa kosa la kwenda kuhudhuria mkutano wa kampeni wa mgombea urais wa Chadema, Edward Lowassa.
Serikali imemfungulia mashtaka Mwenyekiti huyo, Lucas Michael maarufu Masai kwa madai ya kukiuka maadili na utaratibu wa utumishi wa umma.
Michael ameshtakiwa kwenye Tume ya Utumishi wa Umma, Idara ya Utumishi wa Walimu wilayani hapa.
Michael anadaiwa siku ya mkutano huo wa kampeni, alimweleza mgombea huyo kuwa serikali imeshindwa kuwasafirisha walimu waliostaafu kurudi makwao, kulipa madai ya walimu na kutowapandishwa madaraja.
Pia, alidai kusikitishwa na kitendo cha uongozi wa Wilaya ya Chato kuwaandama baadhi ya walimu wanaoonekana kuunga mkono upinzani na wanaoiunga mkono CCM hawachukuliwi hatua yoyote ya kinidhamu.
Mwenyekiti huyo wa CWT alihudhuria mkutano wa kampeni za mgombea huyo alipofika wilayani Chato Septemba 19, baada ya kupokea mwaliko wa Chadema Wilaya ya Chato akiwa kama mdau wa elimu.
Kwa mujibu wa mashtaka hayo, Michael anadaiwa kukiuka maadili na utaratibu wa utumishi, Kanuni namba 65(1) na kutakiwa kujieleza.
Chanzo: Mwananchi
Hahaha I like itHata mm nimemkwida mkurugenzi. Mpk OCD alipofika alikuwa anahema kama kuku anayeumwa mdondo. Nyambafu!
Akashauriwa aapishe mawakala wangu 6 aliyokuwa anawafanyia figisu.
Tuacheni uwoga watanzania. Lisu anachechema lkn ujasiri 100% wewe uko kamili na viungo vyote ujasiri 0%