Mawakili wa Mbowe waache maswali yasiyo na msingi, ulizeni maswali ya maana mteja wenu aachiwe haraka

Mtuhumiwa mlimkamata akiwa anakunywa supu au anatembea? tayari swali hilo la wakili msomi halafu baada ya jibu hakuna kinachofuata yaani alikuwa na maana gani kuuliza swali kama hilo
Ni swali technical sana kwa wanaojua sheria.unakuta swali moja kama Hilo linakuwa na majibu zaidi ya moja kutoka Kwa wakamataji waliokuwa pamoja.
 
Inshaalah mama atapowasiri kutoka ubeberuni atamwachia huru.

Mutamkubali tu mama saamia suluh hassan.

Mama utaporudi fanya marekebisho kwenye miamala.
 
Katika ufuatiliaji wangu mdogo, watu wengi wameonekana kuwa na ushabiki na mihemko kuhusiana na kesi inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe.

Wengine wameonekana kuwasifia mawakili wa mtuhumiwa kwamba wana ustadi mkubwa katika kuwabana mashahidi wa upande wa mashtaka (eti hadi wanaomba kwenda msalani). Binafsi, naomba niwe tofauti. Mawakili wengi wa Kitanzania wanafanya mambo mengi kwa kukariri.

Ningependa maswali yafuatayo yaulizwe, either ndani au nje ya mahakama.

1. Je, Serikali imewahi kumhukumu au kumtuhumu Mbowe kwa tukio lolote la ugaidi ambalo liliwahi kufanyika ndani au nje ya nchi?

2. Ni kawaida sana kuona vikundi vya kigaidi vikiwa na majina ya kujitambulisha. Je, kwa mujibu wa uchunguzi wa Polisi, kikundi cha kigaidi anachodaiwa kuongoza Mbowe kinaitwaje?

3. Mbowe anajulikana zaidi nchini kama Mwanasiasa. Ugaidi kwa tafsiri ni lazima uwe na agenda fulani. Je, kwa mujibu wa uchunguzi wa Polisi, nini ni agenda ya kundi ambalo analodaiwa kuongoza Mbowe?

Sitegemei kama upande wa Mashtaka umejiandaa kujibu maswali ya namna hii hasa kama yataulizwa mwanzoni kabisa wa kesi. Majibu ya haya maswali kutoka kwenye vinywa vya upande wa mashtaka yana implications kubwa sana baada ya kesi, whether Mbowe amefungwa au ameachiwa huru.

Mawakili wa Mbowe, acheni kukariri kuhoji mapungufu ya technicalities. Hata kama kuna upungufu huko, kuyakomalia hayo hakuwezi kufanya kesi ifutwe kirahisi kama mnavyodhani. Nendeni moja kwa moja kwenye msingi wa kesi.
Ukute huna Hata certificate ya Law halafu unasumbua tu
 
Sidhani kama wewe unaifuatilia kesi hii..
Kwanza kesi iliyopo sasa ni kesi ndogo yenye lengo la kuwatetea washtakiwa namna ukamataji wao ulivyokiukwa kwa mujibu wa sheria na ndiyo maana popote pale bado hujasikia FAM akisimama kizimbani au akitajwa..

Nadhani umerukia treni kwa mbele..
 
Mtuhumiwa mlimkamata akiwa anakunywa supu au anatembea? tayari swali hilo la wakili msomi halafu baada ya jibu hakuna kinachofuata yaani alikuwa na maana gani kuuliza swali kama hilo
Ile kesi bado sana Mzee... Ile case ya mbowe no ngumu sana huna ABC za sheria bora upige tu kimya
 
Inshaalah mama atapowasiri kutoka ubeberuni atamwachia huru.

Mutamkubali tu mama saamia suluh hassan.

Mama utaporudi fanya marekebisho kwenye miamala.
Hahahahah
1. kwanza mlisema haendi kazuiwa na kampeni ya Lema na Lisuu-KAENDA
2. Baadaye mkasema kaenda anahangaika kukutana na rais wa Marekani- MKASASAU KWAMBA SSH AMEENDA UN NA SIO USA
SASA MNASEMA AKAIRUDI ANAMFUNGULIA GAIDI- MAMA SSH HAINGILIII UHURU WA MTU
MIAMALA IKO PALE PALE
 
Mkuucomte,, kwanii rugemalila na mhindi c ni mama kawatoa au!!!! Faini ya kesi iliyokuwa ikimkabili mmoja wa chadema c ni mama amewarudishia!!! Mama hataki zulma wala uonevu. Naimani akirejea atamwachiria huru mbowe.
Mkuu - wapi- kawatoa DPP
 
Katika ufuatiliaji wangu mdogo, watu wengi wameonekana kuwa na ushabiki na mihemko kuhusiana na kesi inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe.

Wengine wameonekana kuwasifia mawakili wa mtuhumiwa kwamba wana ustadi mkubwa katika kuwabana mashahidi wa upande wa mashtaka (eti hadi wanaomba kwenda msalani). Binafsi, naomba niwe tofauti. Mawakili wengi wa Kitanzania wanafanya mambo mengi kwa kukariri.

Ningependa maswali yafuatayo yaulizwe, either ndani au nje ya mahakama.

1. Je, Serikali imewahi kumhukumu au kumtuhumu Mbowe kwa tukio lolote la ugaidi ambalo liliwahi kufanyika ndani au nje ya nchi?

2. Ni kawaida sana kuona vikundi vya kigaidi vikiwa na majina ya kujitambulisha. Je, kwa mujibu wa uchunguzi wa Polisi, kikundi cha kigaidi anachodaiwa kuongoza Mbowe kinaitwaje?

3. Mbowe anajulikana zaidi nchini kama Mwanasiasa. Ugaidi kwa tafsiri ni lazima uwe na agenda fulani. Je, kwa mujibu wa uchunguzi wa Polisi, nini ni agenda ya kundi ambalo analodaiwa kuongoza Mbowe?

Sitegemei kama upande wa Mashtaka umejiandaa kujibu maswali ya namna hii hasa kama yataulizwa mwanzoni kabisa wa kesi. Majibu ya haya maswali kutoka kwenye vinywa vya upande wa mashtaka yana implications kubwa sana baada ya kesi, whether Mbowe amefungwa au ameachiwa huru.

Mawakili wa Mbowe, acheni kukariri kuhoji mapungufu ya technicalities. Hata kama kuna upungufu huko, kuyakomalia hayo hakuwezi kufanya kesi ifutwe kirahisi kama mnavyodhani. Nendeni moja kwa moja kwenye msingi wa kesi.
Haya ndio maswali ya kwenye cross-examination? We hauna akili
 
Jaji tayari analo jibu. Maana shahidi wa kwanza kasema walikuwa wana kunywa supu wapili kasema walikuwa wana tembea. Wakati shahidi wa kwanza na wa pili walikuwa pamoja..
Kwahiyo unafuta kesi?
 
Katika ufuatiliaji wangu mdogo, watu wengi wameonekana kuwa na ushabiki na mihemko kuhusiana na kesi inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe.

Wengine wameonekana kuwasifia mawakili wa mtuhumiwa kwamba wana ustadi mkubwa katika kuwabana mashahidi wa upande wa mashtaka (eti hadi wanaomba kwenda msalani). Binafsi, naomba niwe tofauti. Mawakili wengi wa Kitanzania wanafanya mambo mengi kwa kukariri.

Ningependa maswali yafuatayo yaulizwe, either ndani au nje ya mahakama.

1. Je, Serikali imewahi kumhukumu au kumtuhumu Mbowe kwa tukio lolote la ugaidi ambalo liliwahi kufanyika ndani au nje ya nchi?

2. Ni kawaida sana kuona vikundi vya kigaidi vikiwa na majina ya kujitambulisha. Je, kwa mujibu wa uchunguzi wa Polisi, kikundi cha kigaidi anachodaiwa kuongoza Mbowe kinaitwaje?

3. Mbowe anajulikana zaidi nchini kama Mwanasiasa. Ugaidi kwa tafsiri ni lazima uwe na agenda fulani. Je, kwa mujibu wa uchunguzi wa Polisi, nini ni agenda ya kundi ambalo analodaiwa kuongoza Mbowe?

Sitegemei kama upande wa Mashtaka umejiandaa kujibu maswali ya namna hii hasa kama yataulizwa mwanzoni kabisa wa kesi. Majibu ya haya maswali kutoka kwenye vinywa vya upande wa mashtaka yana implications kubwa sana baada ya kesi, whether Mbowe amefungwa au ameachiwa huru.

Mawakili wa Mbowe, acheni kukariri kuhoji mapungufu ya technicalities. Hata kama kuna upungufu huko, kuyakomalia hayo hakuwezi kufanya kesi ifutwe kirahisi kama mnavyodhani. Nendeni moja kwa moja kwenye msingi wa kesi.
Unaweza kutueleza kwa ufupi CV yako kuhusu masuala ya sheria na jinsi ya kuendesha kesi ya ugaidi kama hii inayoendelea? Baada ya hapo tutajadili hoja zako za msingi.
 
Mtuhumiwa mlimkamata akiwa anakunywa supu au anatembea? tayari swali hilo la wakili msomi halafu baada ya jibu hakuna kinachofuata yaani alikuwa na maana gani kuuliza swali kama hilo
Wewe ndiyo hamnazo kweli.Hujui kipengele hicho cha scene ya ukamatwaji ni muhimu kwenye utetezi.Tayari mashahidi wawili waliohusika na ukamataji wametofautiana maelezo.Hata hivyo Wewe hii kesi haikuhusu.
 
1- Jibu : Hapana
2- Jibu : Mh Jaiji' Mtuhumiwa ameshitakiw kwa kula njama za kufanya ugaidi na si kuanzisha kikundi cha ugaidi. Hivyo kama ana kikundi na kina jina basi aulizwe yeye hilo jina.
3. Jibu: Kwenye hati ya mashtaka imeelezwa wazi lengo la kutaka kufanya huo ugaidi ma mimi naamini umesoma vizuri na kuelewa ama unataka usomewe tena?
(Kusababisha nchi isitawalike)

Mh wakili una maswali mengine au tumwachie mh jaji apitishe hukumu?
 
Hayo Maswali yako Unayo-Propose na Kuyaita ya Msingi tofuti na Ya kwenye PGO ni Zero kwa kesi inayomkabili Mbowe na Wenzake. Hayo Maswali yako ni ya Kutafutia kura kwenye Mikutano ya campaign, hivi kwa mashahidi unaotolewa na Mashahidi wa upande wa srikali Utambaulia nini si utakuwa nje ya case. In Short Maswali yako hayana mantiki.

Serikali Imewaleta mashahidi na wanakuwa cross- eximined na Upande wa utetezi kulingana na kile wanachokuja kutestify. Maswali yako yatunze yatatumika siku Mbowe akiwa anaomba kura za uraisi- 2025
[emoji3][emoji3][emoji3] amechemka
 
Mtuhumiwa mlimkamata akiwa anakunywa supu au anatembea? tayari swali hilo la wakili msomi halafu baada ya jibu hakuna kinachofuata yaani alikuwa na maana gani kuuliza swali kama hilo
Maana yake ni kutafuta uwiano wa majibu ya mashahidi ili kujua kama wanaongea ukweli au ni ushahidi wa kubumba. Na kutafuta ikiwa haki za binadamu zililindwa.
 
1- Jibu : Hapana
2- Jibu : Mh Jaiji' Mtuhumiwa ameshitakiw kwa kula njama za kufanya ugaidi na si kuanzisha kikundi cha ugaidi. Hivyo kama ana kikundi na kina jina basi aulizwe yeye hilo jina.
3. Jibu: Kwenye hati ya mashtaka imeelezwa wazi lengo la kutaka kufanya huo ugaidi ma mimi naamini umesoma vizuri na kuelewa ama unataka usomewe tena?
(Kusababisha nchi isitawalike)

Mh wakili una maswali mengine au tumwachie mh jaji apitishe hukumu?
Unaleta ushabiki wa Simba na Yanga kwa mambo ya maana.
 
Asante kwa kuliona Hilo hao mawakili wanauliza maswali mepesi ka unyoya wa jogoo kishenzi na kuacha maswali nkonki ka hayo uliyoyaandika Sasa hawako critical kwenye ku frame maswali ya maana
 
We huna lolote, sasa kama unajua sana nenda kawe wakili wake au muone kibatala imueleze sasa ukileta huku unajua wazi hakuna wa kukuhoji hadi uombe puu.

Nenda kwa mawakili wasomi utakimbia
Hamna mawakili wasomi pale labda kwa standard zetu hizi za kufanya mambo kwa mazoea.
 
Back
Top Bottom