Mawakili wa Mbowe waache maswali yasiyo na msingi, ulizeni maswali ya maana mteja wenu aachiwe haraka

Mawakili wa Mbowe waache maswali yasiyo na msingi, ulizeni maswali ya maana mteja wenu aachiwe haraka

Nawashauri mawakili wa Mbowe ambao mara zote wamekuwa wakisaka kiki za mitandaoni waache hizo.
Kesi ya Mbowe ni kubwa yenye kuhitaji weledi.Jina
Jina la mtu huakisi kilichomo ndani ya utashi wake! Jingalao linajitanabaisha kwani kweli ni mjinga wetu! Mlilodhani mmelipatia kumbe mmebug big time!
Aina ya wanaccm wengi ni WA caliber Yako, wajinga! Mtafuteni Mbowe kesi nyingine kwani hii mmebagwa na kubagazwa! Policcm mnaitia aibu nchi
 
1. Je, Serikali imewahi kumhukumu au kumtuhumu Mbowe kwa tukio lolote la ugaidi ambalo liliwahi kufanyika ndani au nje ya nchi?

2. Ni kawaida sana kuona vikundi vya kigaidi vikiwa na majina ya kujitambulisha. Je, kwa mujibu wa uchunguzi wa Polisi, kikundi cha kigaidi anachodaiwa kuongoza Mbowe kinaitwaje?

3. Mbowe anajulikana zaidi nchini kama Mwanasiasa. Ugaidi kwa tafsiri ni lazima uwe na agenda fulani. Je, kwa mujibu wa uchunguzi wa Polisi, nini ni agenda ya kundi ambalo analodaiwa kuongoza Mbowe?
These are rubbish!
...Shahidi Atakupa jibu lolote kuwa kikundi kinaitwa Keynez...Una la kuongeza!
......Serikali haijawahi kumtuhumu, so what ? si anaweza kuwa anaanza.....na ndiyo wamemtuhumu na yupo mahakamani...

Unampga shahidi maswali anaonekana anasema UONGO and therefore he is not credible to be believed..ushahidi unatupwa!
 
Nawashauri mawakili wa Mbowe ambao mara zote wamekuwa wakisaka kiki za mitandaoni waache hizo.
Kesi ya Mbowe ni kubwa yenye kuhitaji weledi.

Hujui chochote Jingaletu. Nia ya wakili ni kukutoa katika logical chain of thought ili akikurudisha kuona kama utasema kile kile. Hukusikia maswali hayo hayo unayosema kiki yamepata majibu ya “hapana”, “sijui” “sikuambatanisha” nk?? Kumbuka kuwa mawakili wa serikali wanatafuta kuondoa shaka na mawakili wa utetezi kuweka shaka?? Hakimu anataka ushahidi kamili ili afanye uamuzi!

Wakili: “Je ulihudhuria kikao chochote kilichokuwa kinapanga uhalifu dhidi ya watu uliotoa majina na namba zao kwa Mbowe”?

Wakili: “Je Mbowe alisema atawadhuru hao uliompa taarifa zao”?

Shahidi: “Hapana”

Halafu huyo ni shahidi aliyeletwa makahamani kuthibitisha kuwa Mbowe alitaka kumdhuru Sabaya!

Pathetic!! Hizi sio kiki - ni kuweka mashaka katika ushahidi!!
 
Back
Top Bottom