Development partners kwenda mahakamani ni sawaCan you imagine? Yaani watu mbalimbali including “development partners” wa Serikali hii wamejaa mahakamani then Serikali inakuja na hoja za kijinga kabisa eti wamekosa usafiri
Huu ujinga ni wa level nyingine.
Hata Mandela na wanaharakati wengine walikaa jela ila mwisho wa siku waalibuka washindi na historia inawatambua mpaka leo hii.SIMPLE TU WATAPATA TAFSIRI LAKINI JE MBOWE ANAENDELEA KUNYEA NDOO NA YULE JAMAA ALIMWAMBIA ATAENDA KUMTOA POLISI AU MAHAKAMANI NAYE BADO ANANYEA NDOO YAANI MNATESA WENZENU NYIE MKO KWENYE KEYBOARD MNACHEEEEEEEEEEEEKAAAAAAAA
Development partners kwenda mahakamani ni sawa
umesomea wapi development partnership?
kesi Iliendelea au haikuendelea?
Tusopofungua kesi, mtasema mbona hamkwenda mahakamani?Kama Hatuna Imani na mahakama, kwanii tunafungua kesi hapohapo tusipo na imani napo?
Aibu yao na bado pigo kuu jingine linakuja soon utawala uliofitinika.Can you imagine? Yaani watu mbalimbali including “development partners” wa Serikali hii wamejaa mahakamani then Serikali inakuja na hoja za kijinga kabisa eti wamekosa usafiri
Huu ujinga ni wa level nyingine.
Kunyea ndo siyo issue, issue Ni kufunua kitabu Kila ukitoka mahakamani!SIMPLE TU WATAPATA TAFSIRI LAKINI JE MBOWE ANAENDELEA KUNYEA NDOO NA YULE JAMAA ALIMWAMBIA ATAENDA KUMTOA POLISI AU MAHAKAMANI NAYE BADO ANANYEA NDOO YAANI MNATESA WENZENU NYIE MKO KWENYE KEYBOARD MNACHEEEEEEEEEEEEKAAAAAAAA
Mungu ibariki chadema.
Hayo yamesemwa na Wakili Msomi Peter Kibatala alipokuwa anaongea na Wanahabari Mahakamani Kisutu , ambapo amedai kauli ya Taasisi hiyo inachukuliwa na Washitakiwa kama hitimisho la kesi yao kutokana na ukubwa wa Taasisi iliyofanya hivyo.
Wanaomba jambo lililofanywa na Taasisi hiyo kubwa likapate tafsiri Mahakama kuu .
View attachment 1890790
Mwisho Sasa utasema hata Yesu aliteswa!? Jikite kwenye hoja zaidi!!Hata Mandela na wanaharakati wengine walikaa jela ila mwisho wa siku waalibuka washindi na historia inawatambua mpaka leo hii.
nini hiyo mkuu ?
Na blind copy itumwe kwa mdudu Corona....nakala ya mashitaka hayo amepelekewa Mungu
Jibu zuri sana kwa swali la kijinganakala ya mashitaka hayo amepelekewa Mungu
I know very well“Development” sio kupewa pesa ujenge madaraja au matundu ya vyoo tu. It is all about social-political & economic matters. Rudi shule
Kwahiyo mmechagua mahakama au maandamano?Tusopofungua kesi, mtasema mbona hamkwenda mahakamani?
Chadema nani mwema kwenu?Hakuogopwa Idd Amin ndio aogopwe huyu ?