Mawakili wa Mbowe wafungua kesi kuhusu Taasisi moja Kubwa nchini kuingilia Uhuru wa Mahakama

Mawakili wa Mbowe wafungua kesi kuhusu Taasisi moja Kubwa nchini kuingilia Uhuru wa Mahakama

Can you imagine? Yaani watu mbalimbali including “development partners” wa Serikali hii wamejaa mahakamani then Serikali inakuja na hoja za kijinga kabisa eti wamekosa usafiri

Huu ujinga ni wa level nyingine.
Development partners kwenda mahakamani ni sawa

umesomea wapi development partnership?

kesi Iliendelea au haikuendelea?
 
SIMPLE TU WATAPATA TAFSIRI LAKINI JE MBOWE ANAENDELEA KUNYEA NDOO NA YULE JAMAA ALIMWAMBIA ATAENDA KUMTOA POLISI AU MAHAKAMANI NAYE BADO ANANYEA NDOO YAANI MNATESA WENZENU NYIE MKO KWENYE KEYBOARD MNACHEEEEEEEEEEEEKAAAAAAAA
Hata Mandela na wanaharakati wengine walikaa jela ila mwisho wa siku waalibuka washindi na historia inawatambua mpaka leo hii.
 
Development partners kwenda mahakamani ni sawa

umesomea wapi development partnership?

kesi Iliendelea au haikuendelea?

“Development” sio kupewa pesa ujenge madaraja au matundu ya vyoo tu. It is all about social-political & economic matters. Rudi shule
 
Can you imagine? Yaani watu mbalimbali including “development partners” wa Serikali hii wamejaa mahakamani then Serikali inakuja na hoja za kijinga kabisa eti wamekosa usafiri

Huu ujinga ni wa level nyingine.
Aibu yao na bado pigo kuu jingine linakuja soon utawala uliofitinika.
 
SIMPLE TU WATAPATA TAFSIRI LAKINI JE MBOWE ANAENDELEA KUNYEA NDOO NA YULE JAMAA ALIMWAMBIA ATAENDA KUMTOA POLISI AU MAHAKAMANI NAYE BADO ANANYEA NDOO YAANI MNATESA WENZENU NYIE MKO KWENYE KEYBOARD MNACHEEEEEEEEEEEEKAAAAAAAA
Kunyea ndo siyo issue, issue Ni kufunua kitabu Kila ukitoka mahakamani!
 
Si wasemen tu taasisi ya wa KUDEMKA. Wanaogopa nini kumuanika hadharani.


Hayo yamesemwa na Wakili Msomi Peter Kibatala alipokuwa anaongea na Wanahabari Mahakamani Kisutu , ambapo amedai kauli ya Taasisi hiyo inachukuliwa na Washitakiwa kama hitimisho la kesi yao kutokana na ukubwa wa Taasisi iliyofanya hivyo.

Wanaomba jambo lililofanywa na Taasisi hiyo kubwa likapate tafsiri Mahakama kuu .

View attachment 1890790
 
''Sir Nyento'' she can't behave herself?
 
Hata Mandela na wanaharakati wengine walikaa jela ila mwisho wa siku waalibuka washindi na historia inawatambua mpaka leo hii.
Mwisho Sasa utasema hata Yesu aliteswa!? Jikite kwenye hoja zaidi!!
 
“Development” sio kupewa pesa ujenge madaraja au matundu ya vyoo tu. It is all about social-political & economic matters. Rudi shule
I know very well

wafadhili wa kila kitu including kukiri tuna Ebola hata Kwa rushwa

watanzania sio mabwege

hao jamaa walioenda mahakamani wacheki tena next year July ujue wangapi watakuwepo
 
Huyu hapa gaidi
JamiiForums485238726.jpg


Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom