dudus
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 23,782
- 54,213
... na ukichunguza kwa makini utaona mawakili wa serikali kuna vitu vya msingi sana hawawaulizi mashahidi wao kwa sababu wanazozijua wao! Vinakuja kuwekwa hadharani na mawakili wa utetezi.Ni kweli! Lakini lazima wahoji ili kutoacha shaka yo yote kwenye Utetezi.
Mashahidi wa michongo wanatakiwa wawe screwed to the maximum extent possible sio tu kwa ajili ya utetezi wa shauri lililoko mahakamani lakini pia kupeleka "clear and loud" message kwa wahusika kwamba mipango yao ya kishetani inafahamika.