Mawakili wamkataa Jaji Biswalo, wamuandikia barua Rais Samia

Mawakili wamkataa Jaji Biswalo, wamuandikia barua Rais Samia

chiembe

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2015
Posts
16,859
Reaction score
28,112
Waanika tuhuma dhidi yake, wataka zichunguzwe.

Screenshot_20230203-213618.jpg
 
Bibi amelikoroga, kama alikuwa anaongea tu kuchangamsha genge bila concrete evidence hapo ndio itajulikana. By the way, ina maana kweli Rais hakuona umuhimu wa kutengua uteuzi wake mpaka afundishwe na mawakili?.
 
Sema tu kwa vile ni Tanzania.
Jaji haondolewi kizembe sehemu nyinginezo.
Kumuondoa Jaji ndio kuna hatua za kufuata mpaka kuunda Tribunal Board ifuate mchakato wote ila kumuondoa Jaji Mkuu hakuna mchakato wowote wa kufuata. Ibara ya 118 ya Katiba iweka wazi hapo.
Hata hivyo ibara ya 110 ya katiba yetu bado inatoa madaraka makubwa kwa Rais kuamua kumuacha kazini au kumfuta kazi,
Katiba yenyewe pia haimlazimishi Rais kuunda time ya kijaji, inasema "akiona inafaa" na hakuna wa kumuuliza, Sasa hapa utaona madaraka makubwa ya Rais katika kuamua Hilo! Ndio Mana katiba mpya Ni muhimu kumpunguzia Rais haya madaraka, ikitokea Judge Ni swahiba wake aweza kuamua kukaa kimya tu!
 
Back
Top Bottom