Mawakili zaidi ya 390 wa Tanzania Bara Hatarini Kupoteza Uwakili wao

Mpo sahihi Lawyers, ni vyema kupata Wanasheria sahihi wenye vigezo sahihi kwa ajili ya kazi hii muhimu sana.
Simamieni hapohapo
 
Roho mbaya ni kipengere sana
Nimeshangaa hata mimi aisee.
Nchi hii kuna mambo lukuki ya kufuatilia ambayo yenye tija na kunufaisha jamii kwa ujumla kuliko kupoteza muda kuwaharibia watu maisha yao yarudi nyuma na wakati huo hakuna utakachofaidika nacho baada ya hao watu kuvuliwa cheo.
 
Hicho kinachofundishwa Law school kwanini kisiunganishwe na kufundishwa huko vyuo vikuu, halafu hyo Law school ifutwe😂
Baada ya hapo iwe on job training chini ya usimamizi wa Senior wakili kwa muda fulani then apewe leseni ( huu mfumo nmeona unatumiwa na ERB, board ya wahandisi- hakuna kurudishana darasani ni practicing huko field chini ya usimamizi wa Senior Eng kwa miaka 3 na report zinakuwa evaluated, only then wanapewa leseni)

Maoni tu, sina nia ya kuharibi ulaji wa wakuu pale Law school
 
Sawa, basic rights act ipo na tunaijua, lakini mbona wanaitumia kwa ubaguzi? Mbona hawajaenda kupinga sheria zingine kandamizi zinazoumiza wananchi wa kawaida, wameona waende kupinga hii tu inayohusu maslahi na wivu wao wa kikazi?
Hapa ndipo hata mimi ninavyoshangaa yaani kwenye mambo yote yanayofanyika nchini hili ndio limekuwa la muhimu sana kuzidi hayo mengine.
 
Umewaza nje ya boksi kwa kifupi hii imekaa kimradi fulani cha watu.
Swali lingine ninalojiuliza ina maana wale wazee waliosoma zamani kabla ya hiyo Law school kuanzishwa walikuwa hawana uweledi kwenye tasnia yao
 
Hii kesi itapigwa chini huko mahakama kuu. Kwa ufupi… swali itakalo jiuliza mahakama ni je, “uzoefu wa kazi Kwa vitendo” ni unapatikana law school pekee? Na je, Kwa wale walioupata huo uzoefu kwa mfano training contract katika makampuni ya kisheria nao pia walazimishwe kwenda law school ?

Sioni Kama mahakama kuu, itaweza kuwafutia uwakili.. sana sana, itarekebisha tu utaratibu wa kuwaandisha Kama Una kasoro.
 
ili uwe wakili ni lazima usome law school, hata kama umekaa kwenye law firm kwa miaka 15 law school ni lazima kama unataka kuwa Wakili.
 
Kesi yoyote inatokana na ukiukwaji wa sheria na haki za msingi za binadamu..

Huenda kwel sheria ilifanyiwa marekebisho lakn y 360? Je vigezo vyao vikikuwa gazeted? How informations extended to the society?

Ikiwa sheria haitakuwa mhimili wa kuongoza basi tutakuwa kama wanyama polini.

Ifike mahali tuheshim mipaka ya kila taaluma law school haikwepeki kwa mawakili
 
Umewaza nje ya boksi kwa kifupi hii imekaa kimradi fulani cha watu.
Swali lingine ninalojiuliza ina maana wale wazee waliosoma zamani kabla ya hiyo Law school kuanzishwa walikuwa hawana uweledi kwenye tasnia yao
Kuna kitu kilikia kinaitwa Bar exam, hawa tunaowashtaki hawajasoma Law school wala hawajapita katika Bar exam
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…