Mawasiliano ndio kigezo kikubwa kinachoonyesha kama kuna mapenzi au ndio yamejifia

Kwenye urafiki na hata mapenzi hakuna ubize kwa best friend ama mtu unayempenda

Ukiambiwa yupo bize jua kwamba kuna mtu wake yupo tayari kuvuruga ratiba waonane.

Nipo bize = huna uzito kwangu na hata kampani yako ni ya kuivumilia ama maslahi tu.
Hii point huwa mnaiendekeza sana ila kiuhalisia haisimami sawia kwa 100% katika kila muktadha.
Yeah, inatokea mtu anakuwa busy kiasi cha kuona kushika simu na kuchat ama kuongea anapoteza muda, ila haimaanisha hampendi mpenzi wake.

Mimi kuna siku naweza kaa from saa 2 asubuhi hadi night bila maongezi marefu nae, it's either single txt au nimtafute jioni au usiku, lakini deep down nampenda sana.

INATEGEMEANA.
 
Chief hapa hatumaanishi kila mda mnawasiliana hapana,lakini average kwa siku walau mara mbili basi,,,sasa kama hamchekiani kabisa basi ujue hilo penzi lipo ICU linapumulia gas
Haha..
Bila mikasi mambo hayaendi broo.
Wataalamu wenyewe wanasema kumwaga angalau mara 21 kwa mwezi ni kinga tosha ya tez dume.

Sasa kwa idadi hiyo ukijikita kwenye CHAPUTA pekee si mikono na mtwangio vitaota sugu?
 
Mimi kuna siku naweza kaa from saa 2 asubuhi hadi night bila maongezi marefu nae, it's either single txt au nimtafute jioni au usiku, lakini deep down nampenda sana.

INATEGEMEANA.
Hapo wewe ni wazi unapenda ila unakuwa bize ila unatafuta muda kuchat jioni au usiku. Hiyo ni sawa.

Mjadala hapa ni juu ya wale mtu ana mute wiki yote au mwezi eti yupo bize!
 
kampe wewe, unangoja nini?

Mimi siyo mama huruma.
Sasa nampaje na mimi kidume mbona unakuwa na mawazo mgando lakini? [emoji848]

Halafu na mimi mwenyewe nimesha tamani, hebu nije Dm tuyajenge tupange miadi tukutane watu wazima sisi hatuwezi kushindwana, tutenge siku mbili za mchuano tukunjane hadi maji mwilini yakauke au unasemaje ? [emoji848]
 
Ushashikwa na nyege mshindo? Njoo huku, fata link hiyo chini, upambane na wenye nyege wenzio:

 
Mrembo,
Acha kusumbua watu, fungua PM bhana
 

Unaweza kaa asubuhi hadi usiku bila maongezi marefu na mpenzi wako sawa lakini siku haiishi bila kumcheki ama yeye kukucheki kama ufanyavyo hii haina shida ila sasa kuna wale ni hakutafuti hata siku kadhaa na ukijaribu tu kumcheki ndio unakutana na habari za yupo busy 24/7. Unajua fika hapa hamna upendo.
 
Bila shaka ww ni mwanamke uliyeandika ivi ,iwonder why girls, like talking always,girls tunatafuta hela.
 
Tatizo watu wameyapa sana nafasi mapenzi kuliko kitu kingine chochote.
Kama una mpenzi/mke/mume/ partner lazima uyape mapenzi kipaumbele, angalau mapenzi yachukue nafasi ya 3 kwenye vipaumbele vyako.

Kama mko mbali walau msgs 3 kwa siku. Simu moja au 2.

Kitafiti, binadamu wa sasa hawezi Kukaa masaa 8 bila kushika simu, sasa katika kushika kwake simu hajaona haja ya kumtania mwenza wake, au kumsalimia au kumuagiza (kutegemea na stage ya mahusiano yenu) something must be fishy!

Tena siku hizi kuna reels na memes, siku nzima haujapata cha kumtumia mpenzi, ahhh subutu sio kweli (kwa sauti ya tabu mtindiga)

Love is byuriful thing. 😍
 
Kuwa na adabu na mama πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Umenigusa jirani, ngoja nichukue hii...😊
 
Kuna watu wako bize 24/7 siungi mkono hoja nashikilia shilingi watu wenye pesa huo muda wa kuongea mda wote anautoa wapi mapenzi yanataka nini manara sio tajiri ila visenti anavyo ila licha ya kuwapeleka wake zake world cup ila alimwagwa tena mpaka akazimia dokta mwaka anayejiita bingwa naye hakupona elezea mambo yote ila ukifika kwenye mapenzi hapo weka nukta tega sikio usikilize hayana mtaalam wala mjanja ruge na ujanja wake wote alilia kwa zamaradi anyway sijui nilikuwa nataka kuzungumzia nini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…