pilipili kichaa
JF-Expert Member
- Sep 3, 2013
- 18,406
- 14,643
Huwa tunahangaika na vijizi vodogovidogo wakati mafisadi wakuu wapo pale juu kileleni na wakijiona ni halali wao kutuibia watakavyo!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hayo unayotaka yaondolewa inatakiwa tupate rais jiwe na chizi chizi Kama mwendazakeKwa mujibu wa John Heche kupitiia account yake ya twitter, Waziri Mkuu analipwa posho ya shilingi 340,000/= kwa siku awapo Bungeni. Posho hiyo inahusisha sitting allowance pamoja na perdiem na bila shaka hata mawaziri wengine nao wanalipwa perdiem. Tukumbuke John Heche alikuwa mbunge.
Wote tunajua perdiem ni posho ya safari kwa mtumishi anaposafiri kikazi na si vinginevyo ili imsaidie kugharamia malazi, chakula na mambo mengine awapo safarini.
Kwakuwa Waziri Mkuu anakaa katika nyumba ya serikali na bila shaka anahudumiwa na serikali karibu kila kitu, uhalali wa Waziri Mkuu kulipwa perdiem unatoka wapi ili hali yeye na mawaziri wengine wanakaa Dodoma katika nyumba za serikali?
Hata Spika na Naibu Spika, nao wanastahili hayo malipo?
Je, wanalipwa kwasababu tu na wao ni wabunge?
Kama hiyo ndio sababu, hii ni sahihi?
Je, haya sio matumizi mabaya ya fedha za umma?
Katiba Mpya ilenge kupiga marufuku mambo ya aina hii ingawa si kila kitu ni cha kuingizwa kwenye katiba.
Pia, hii ni sababu nyingine kwanini mawaziri wasitokane na wabunge.
Tz Bado inauchumi mdogo, mishahara inapanda lingana na uchumi😀 ,nchi ngum sanaKwa mujibu wa John Heche kupitiia account yake ya twitter, Waziri Mkuu analipwa posho ya shilingi 340,000/= kwa siku awapo Bungeni. Posho hiyo inahusisha sitting allowance pamoja na perdiem na bila shaka hata mawaziri wengine nao wanalipwa perdiem. Tukumbuke John Heche alikuwa mbunge.
Wote tunajua perdiem ni posho ya safari kwa mtumishi anaposafiri kikazi na si vinginevyo ili imsaidie kugharamia malazi, chakula na mambo mengine awapo safarini.
Kwakuwa Waziri Mkuu anakaa katika nyumba ya serikali na bila shaka anahudumiwa na serikali karibu kila kitu, uhalali wa Waziri Mkuu kulipwa perdiem unatoka wapi ili hali yeye na mawaziri wengine wanakaa Dodoma katika nyumba za serikali?
Hata Spika na Naibu Spika, nao wanastahili hayo malipo?
Je, wanalipwa kwasababu tu na wao ni wabunge?
Kama hiyo ndio sababu, hii ni sahihi?
Je, haya sio matumizi mabaya ya fedha za umma?
Katiba Mpya ilenge kupiga marufuku mambo ya aina hii ingawa si kila kitu ni cha kuingizwa kwenye katiba.
Pia, hii ni sababu nyingine kwanini mawaziri wasitokane na wabunge.
HALAFU WAKIFANYA WENGINE HIVI VITENDO HAO HAO WANALETA NONGWA KWELI KWELI....NI TABIA ZA KIBINAFSI TU, KUJILIMBIKIZIA PESA ZA UMMA PASIPO HALALI, UNYONYAJI MKUBWA KABISA, HALAFU WAKIHUTUBIA UTAFIKIRI WATUKwa mujibu wa John Heche kupitiia account yake ya twitter, Waziri Mkuu analipwa posho ya shilingi 340,000/= kwa siku awapo Bungeni. Posho hiyo inahusisha sitting allowance pamoja na perdiem na bila shaka hata mawaziri wengine nao wanalipwa perdiem. Tukumbuke John Heche alikuwa mbunge.
Wote tunajua perdiem ni posho ya safari kwa mtumishi anaposafiri kikazi na si vinginevyo ili imsaidie kugharamia malazi, chakula na mambo mengine awapo safarini.
Kwakuwa Waziri Mkuu anakaa katika nyumba ya serikali na bila shaka anahudumiwa na serikali karibu kila kitu, uhalali wa Waziri Mkuu kulipwa perdiem unatoka wapi ili hali yeye na mawaziri wengine wanakaa Dodoma katika nyumba za serikali?
Hata Spika na Naibu Spika, nao wanastahili hayo malipo?
Je, wanalipwa kwasababu tu na wao ni wabunge?
Kama hiyo ndio sababu, hii ni sahihi?
Je, haya sio matumizi mabaya ya fedha za umma?
Katiba Mpya ilenge kupiga marufuku mambo ya aina hii ingawa si kila kitu ni cha kuingizwa kwenye katiba.
Pia, hii ni sababu nyingine kwanini mawaziri wasitokane na wabunge.
Haya mambo yaliwachanganya waliokuwa wazalendo toka kitambo tu ikabidi wayaache hivyo hivyo, kwa sababu hakuna mwenye majibu yasiyo na lakini.Kwa mujibu wa John Heche kupitiia account yake ya twitter, Waziri Mkuu analipwa posho ya shilingi 340,000/= kwa siku awapo Bungeni. Posho hiyo inahusisha sitting allowance pamoja na perdiem na bila shaka hata mawaziri wengine nao wanalipwa perdiem. Tukumbuke John Heche alikuwa mbunge.
Wote tunajua perdiem ni posho ya safari kwa mtumishi anaposafiri kikazi na si vinginevyo ili imsaidie kugharamia malazi, chakula na mambo mengine awapo safarini.
Kwakuwa Waziri Mkuu anakaa katika nyumba ya serikali na bila shaka anahudumiwa na serikali karibu kila kitu, uhalali wa Waziri Mkuu kulipwa perdiem unatoka wapi ili hali yeye na mawaziri wengine wanakaa Dodoma katika nyumba za serikali?
Hata Spika na Naibu Spika, nao wanastahili hayo malipo?
Je, wanalipwa kwasababu tu na wao ni wabunge?
Kama hiyo ndio sababu, hii ni sahihi?
Je, haya sio matumizi mabaya ya fedha za umma?
Katiba Mpya ilenge kupiga marufuku mambo ya aina hii ingawa si kila kitu ni cha kuingizwa kwenye katiba.
Pia, hii ni sababu nyingine kwanini mawaziri wasitokane na wabunge.
Bungeni ni sehemu ya kazi, tena yeye ndio msimamizi mkuu wa shughuli za serikali bungeni so ni sehemu ya ofisi yake. Hastahili kuwa na perdiem...
Huo ni wizi na ufisadi uliohalalishwa kisheria.340,000 kwa siku??
My, my, my......
Wakati Mimi juzi nilipandishwa mshahara wa mwezi kutoka 950,000 Hadi 990,000 na masimango kibao eti nimeongezewa asilimia 23.
Hivi MTU unaweza ku spend 340,000 kwa siku? Utakula nini?
Juzi Kati nikitoka out na familia ya watu 4 tulibeba 50,000. Tulijichana nyama pale kibaha Nida na chenji ya daladala ilibaki.
How do you spend 340,000 in 24 hours????
Ni matumizi mabovu tu ya fedha za umma na hakuna justification yoyote ya wao kulipwa hizo posho.Hivi ikiwa wanalipwa mishahara ya ubunge kama kazi yao tuliyowaajiri
sasa hizi posho za nini Tena kwenye vikao.
Na cha ajabu hili jambo halihojiwi kabisa kama vile halipo!!
Katiba yetu, utamaduni wetu na fikra mbaya za wananchi walio wengi zinawafanya viongozi wetu kufanya hayo bila kuogopa. Hali hii huvifanya vyombo vya dola kuwa kama mbwa wa viongozi hao na hivyo kusababisha kuadhibiwa kwao kuwa kugumu.Lakini mbona wenzetu wanawaadhibu viongozi wao kwa matumizi mabaya ya ofisi ikiwemo ubadhirifu wa fedha, rushwa na kujilimbikizia mali, wao wanajuaje kuwa hawa jamaa wanakula kuliko urefu wa kamba zao?
Sasa hakuna sababu ya kuendelea kulaumu watu wanaoiba ikiwa tayari umeshafikia uamuzi huo !!Hii nchi mkuu ukipata upenyo wa kuiba iba haswa
Kukemea kwa njia zipi zaidi ya hizi za kwenye mitandao ya kijamii ?Katiba yetu, utamaduni wetu na fikra mbaya za wananchi walio wengi zinawafanya viongozi wetu kufanya hayo bila kuogopa. Hali hii huvifanya vyombo vya dola kuwa kama mbwa wa viongozi hao na hivyo kusababisha kuadhibiwa kwao kuwa kugumu.
Hivyo basi, kwa kuanzia ni muhimu kukemea pale wanapovunja katiba na sheria.
Hayo mengine yatarekebika moja kwa moja.
Ndio maana huwa tunasema hao wanaSihasa lao huwa moja tu! Wanatucheza shere tu sisi wananchi !!Huo unafiki , niwa kukataa kwa nguvu zote.
Alivyo chaguliwa Mbowe , kua KUB , alikabiziwa gari liliro tumiwa na mtangulizi wake , Amad Rashidi Mohamed, alilikataa mbere ya wandishi wa habari.
Alivyo letewa jipya kama la P/ minster kaenda kuchukua kimyakimya. Je huo siyo unafiki?
Atakaesema hivyo atakuwa ni mjinga, POPOMA, asie mzalendol wala kuwaonea huruma wale wanaoishi kwa kuunga, wale ambao hata ugonjwa wa elfu anashindwa kujipatia matibabu sahihi sababu ya kipato.Wanasema eti ni wivu tu na fikra za kimaskini
Hapana. Mawaziri hawalipwi perdiem wakiwa Dodoma kwa kuwa wapo nyumbani. Wabunge wengine wasio mawaziri ndio hulipwa perdiem. Pokea taarifa hiyo tafadhaliKwa mujibu wa John Heche kupitiia account yake ya twitter, Waziri Mkuu analipwa posho ya shilingi 340,000/= kwa siku awapo Bungeni. Posho hiyo inahusisha sitting allowance pamoja na perdiem na bila shaka hata mawaziri wengine nao wanalipwa perdiem. Tukumbuke John Heche alikuwa mbunge.
Wote tunajua perdiem ni posho ya safari kwa mtumishi anaposafiri kikazi na si vinginevyo ili imsaidie kugharamia malazi, chakula na mambo mengine awapo safarini.
Kwakuwa Waziri Mkuu anakaa katika nyumba ya serikali na bila shaka anahudumiwa na serikali karibu kila kitu, uhalali wa Waziri Mkuu kulipwa perdiem unatoka wapi ili hali yeye na mawaziri wengine wanakaa Dodoma katika nyumba za serikali?
Hata Spika na Naibu Spika, nao wanastahili hayo malipo?
Je, wanalipwa kwasababu tu na wao ni wabunge?
Kama hiyo ndio sababu, hii ni sahihi?
Je, haya sio matumizi mabaya ya fedha za umma?
Katiba Mpya ilenge kupiga marufuku mambo ya aina hii ingawa si kila kitu ni cha kuingizwa kwenye katiba.
Pia, hii ni sababu nyingine kwanini mawaziri wasitokane na wabunge.
Sidhani kama JKN alielewa maana ya UTII. Because you either obey or no obedience at all. Hakunaga nusu, robo, theluthi, ama hata 150% uti. So, utii hauwezi kuzidi wala kupwa. Ama upo au haupo.
Nashukuru kwa maelezo yako yanayolenga kujibu hoja hii.Hapana. Mawaziri hawalipwi perdiem wakiwa Dodoma kwa kuwa wapo nyumbani. Wabunge wengine wasio mawaziri ndio hulipwa perdiem. Pokea taarifa hiyo tafadhali