Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hukumu tunayo raia wa taifa hili sisi ndio mabosi wao,wao ni watumishi wetu.Miongoni mwao anayepinga ajitokeze hadharani kwa roho safi bila kinyongo,wala visa tusemezane juu ya hila,hata pastor musigwa anaweza kusaidia katika hili,akishindwa yupo Adv.P.Tunamuomba Mhe. Rais akemee hiii tabia na hasa wakati tukielekea Uchaguzi Mkuu unaokuja ya 2025.
Hata kule zanzibar Asha Bakari aliwahi serikali ya zanzibar imepatikana kwa mapinduzi haiwezi kuondolewa na kipande cha karatasi akimaanisha kura.Watu wanadai alikuwa amelewa .... Anadai alichokisema ulikuwa ni utani. Sijui tangu lini Wamachinga wamekuwa Watani wa Wahaya. Tuanze kwanza kumshauri aachane na POMBE .... Sijui huo Rubisi ulikuwa wa mitaa gani ...!!?