Hukumu tunayo raia wa taifa hili sisi ndio mabosi wao,wao ni watumishi wetu.Miongoni mwao anayepinga ajitokeze hadharani kwa roho safi bila kinyongo,wala visa tusemezane juu ya hila,hata pastor musigwa anaweza kusaidia katika hili,akishindwa yupo Adv.P.
Watu wanadai alikuwa amelewa .... Anadai alichokisema ulikuwa ni utani. Sijui tangu lini Wamachinga wamekuwa Watani wa Wahaya. Tuanze kwanza kumshauri aachane na POMBE .... Sijui huo Rubisi ulikuwa wa mitaa gani ...!!?