EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,711
- 35,644
Jpm alipata kwa 3yrs tena full time na alikuwa bize kazini.mzee PHD sio masters nenda wewe kajaribu uandikiwe afu uone mziki wake, hupewi ng'oo lazima ubukue na huipati hivi hivi, labda katika vyuo visivyofahamika huko mashinani ila kwenye vyuo credible mzee hutoboi, na ndio maana huwachukua muda
Dk Selemani Jafo Safi sana Mungu akulinde na wabaya na mabayayote yapite kama vinavyopita vyengineKuna kautamaduni kameibuka ka kuchukia watu wanaofanya bidii na kufanikiwa katika kazi, biashara, masomo au hata maisha kwa ujumla.
Ukipata cheo watasema umependelewa, ukifanikiwa kibiashara watasema ni freemason una misukule dukani, ukifanikiwa kielimu utasikia mara hii si lolote si chochote amefoji tu! Acheni hizo. Acheni wivu.
Kama na nyie mnataka kuwa 'doctor' kasomeni. Mwenzenu Jafo amebukua pale UDOM huku akiendelea na majukumu yake ya uwaziri, na leo anatunukiwa PhD yake.
Kuna jitu nimeona huko limeshaenda kufukua huko mitandaoni linadai hiyo thesis ya Jafo inafanana na ya nani sijui wa huko Kenya! Hivi, kati yako wewe wa madongo kuinama na maprofesa wa UDOM, ni nani mwenye uwezo wa kutambua kuwa thesis iko sahihi au la?
Unaamini kabisa kuwa unaweza kuwakosoa maprofesa waliomsimamia Jafo hadi leo anapomalizia defense?
Narudia: acheni wivu. Kama jambo huliwezi sema "siwezi", usiseme "haiwezekani". Jafo ameweza, wengine igeni, jifunzeni.
Hongera sana Selemani Jafo, PhD.
Jp alikuwa anasoma UsikuJpm alipata kwa 3yrs tena full time na alikuwa bize kazini.
Unawajua wanasiasa wewe????
Hawa maprof wanawagwaya
yes ni lazima uchapishe kwenye international journal na inakuwa reviewed,watu huwa kila wakituma jamaa wanareject, mpaka ukubaliwe sio mchezo na ndio maana PHD itabaki kuwa PHD sio mchezo kuipata lazima uipambanieWatu mnajua kuongea aisee, Kigezo cha kwanza kupata PhD lazima upublish paper/s kwenye journal inayotambulika duniani, Na kuna vyuo vingine hawakupi hiyo PhD mpaka upublish papers kuanzia 2 na kuendelea!! Sasa hiyo shughuli ya kupublish hizo papers kwenye reputable journals usimuliwe tu na watu, siyo ya kitoto, sidhani kama kuna mtu anaweza kukufanyia hilo kirahisi namna hiyo! Vyuo serious havina mpango na thesis report, huwa wanaichukulia kama formalities tu, mambo yote ni publications
Mkuu kitu muhimu zaidi katika "thesis" ni "formulation of problem statement & research design" na hapo ndipo utakuwa umeijengea msingi wa kuaminika katika "body of language" Kupitia hapo ndipo hata "research title yako itakuwa na sifa za kuwa "researchable and non asymmetrical"
Sio rahisi hivyo mzeee appriciete hata kinafiki tuHawa wanapewaga tu hizo PhD. For prefix use only, kichwani weupee.
Reseach wanaandikiwa wanaenda kuwasilisha tu.
Au kadesa kama jiwe
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Jp alikuwa anasoma Usiku
Huwezi kuformulate problem statement bila kuresearch what have been so far done in that area! Na hiyo ndiyo mwanzo wa kureview the literature my friend. Lazima ujue kama kweli ni problem au siyoMkuu kitu muhimu zaidi katika "thesis" ni "formulation of problem statement & research design" na hapo ndipo utakuwa umeijengea msingi wa kuaminika katika "body of language" Kupitia hapo ndipo hata "research title yako itakuwa na sifa za kuwa "researchable and non asymmetrical"
"Literature review" ni "definition of terms, theoretical views and other scholars" opinions in relation to academic views"
"
Kuna watu wanadhani PhD ni ile thesis/dissertation report, ile vyuo vinavyojitambua havina time nayo! Watu wanataka new knowledge yako ukaipublish kwa watabe wa hiyo field na waieleweyes ni lazima uchapishe kwenye international journal na inakuwa reviewed,watu huwa kila wakituma jamaa wanareject, mpaka ukubaliwe sio mchezo na ndio maana PHD itabaki kuwa PHD sio mchezo kuipata lazima uipambanie
Mkuu hivi unajua mpangilio wa "Chapters" zilizopo katika "thesis"? Je! Unatambua "Chapter One" huwa inajumuisha vitu gani? Je! "Literature Review" nayo huwa katika "Chapter" ya ngapi?Huwezi kuformulate problem statement bila kuresearch what have been so far done in that area!
Unakariri bwashee! Nasema huwezi hata kufikiria kuanza PhD bila kusoma na kusoma ni part of reviewing the literature. Kwanza nikuulize, una PhD au napoteza muda kwa mtu aliyesoma PhD za wenzake.Mkuu hivi unajua mpangilio wa "Chapters" zilizopo katika "thesis"? Je! Unatambua "Chapter One" huwa inajumuisha vitu gani? Je! "Literature Review" nayo huwa katika "Chapter" ya ngapi?
Mkuu mimi naona kuna lugha gonga hapa. Mimi ninazungumzia "structure of thesis, its contents and context"' wewe unakazania "perusal and review". Basi bwana, mimi nina elimu ya kuungaunga tu hata darasa la saba sikumaliza.Unakariri bwashee! Nasema huwezi hata kufikiria kuanza PhD bila kusoma na kusoma ni part of reviewing the literature. Kwanza nikuulize, una PhD au napoteza muda kwa mtu aliyesoma PhD za wenzake.
Inaelekea hawaoni wivu kwenda kubembea Jamaica hao. Au kuwapa vifungo virefu wanaowagongea mademu zao kama Nguza.Wasomage tu hao urais hauwafai kabisa
Mkuu, 1980 ulikuwa chuo, sasa hivi una umri gani?Angalau umekiri hayo! Fine! Mbona nayajua sana ya PhD and the world around me! Ulizia Prof Ndaalio, Prof Khan , Prof Mtotomwema, Prof Ishumi and the like! at UDSM during very early 1980s..... nimefundishwa na hao siyo takataka za sasa. It is no wonder na wewe you are a Professor of Chemistry!
Umetoa point Sana mkuu.Kaka usifanye mchezo na "chapisho kwenye reputable journal", hakuna janjajanja, Editors and Reviewers wapo makini haswaa!! Sababu kubwa ya watu kushindwa kumaliza PhD ni publications! Mimi binafsi siwezi kuchukua hela yako na kukuahidi tutatoa chapisho kwenye journal inayoeleweka, hata kama hiyo field nipo mtabe kupita maelezo
sawa Dakta Jafo wamekusikia.Kuna kautamaduni kameibuka ka kuchukia watu wanaofanya bidii na kufanikiwa katika kazi, biashara, masomo au hata maisha kwa ujumla.
Ukipata cheo watasema umependelewa, ukifanikiwa kibiashara watasema ni freemason una misukule dukani, ukifanikiwa kielimu utasikia mara hii si lolote si chochote amefoji tu! Acheni hizo. Acheni wivu.
Kama na nyie mnataka kuwa 'doctor' kasomeni. Mwenzenu Jafo amebukua pale UDOM huku akiendelea na majukumu yake ya uwaziri, na leo anatunukiwa PhD yake.
Kuna jitu nimeona huko limeshaenda kufukua huko mitandaoni linadai hiyo thesis ya Jafo inafanana na ya nani sijui wa huko Kenya! Hivi, kati yako wewe wa madongo kuinama na maprofesa wa UDOM, ni nani mwenye uwezo wa kutambua kuwa thesis iko sahihi au la?
Unaamini kabisa kuwa unaweza kuwakosoa maprofesa waliomsimamia Jafo hadi leo anapomalizia defense?
Narudia: acheni wivu. Kama jambo huliwezi sema "siwezi", usiseme "haiwezekani". Jafo ameweza, wengine igeni, jifunzeni.
Hongera sana Selemani Jafo, PhD.