Mawaziri Selemani Jafo na Dotto Biteko watunukiwa PhD ya Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM)

Kuna kautamaduni kameibuka ka kuchukia watu wanaofanya bidii na kufanikiwa katika kazi, biashara, masomo au hata maisha kwa ujumla.

Ukipata cheo watasema umependelewa, ukifanikiwa kibiashara watasema ni freemason una misukule dukani, ukifanikiwa kielimu utasikia mara hii si lolote si chochote amefoji tu! Acheni hizo. Acheni wivu.

Kama na nyie mnataka kuwa 'doctor' kasomeni. Mwenzenu Jafo amebukua pale UDOM huku akiendelea na majukumu yake ya uwaziri, na leo anatunukiwa PhD yake.

Kuna jitu nimeona huko limeshaenda kufukua huko mitandaoni linadai hiyo thesis ya Jafo inafanana na ya nani sijui wa huko Kenya! Hivi, kati yako wewe wa madongo kuinama na maprofesa wa UDOM, ni nani mwenye uwezo wa kutambua kuwa thesis iko sahihi au la?

Unaamini kabisa kuwa unaweza kuwakosoa maprofesa waliomsimamia Jafo hadi leo anapomalizia defense?

Narudia: acheni wivu. Kama jambo huliwezi sema "siwezi", usiseme "haiwezekani". Jafo ameweza, wengine igeni, jifunzeni.

Hongera sana Selemani Jafo, PhD.
WAUKAE Jafo ametisha aisee!!!
 
Umetoa point Sana mkuu.
Watu hawajui reputable journal namna utaratibu wake ulivyo mgumu kwenye kupenyeza paper hata tu iende under review.
Hata Mimi sikubali kuchukua pesa eti nikuandikie paper na hakuna mtu atakubali..
Sababu mpaka uown hiyo kazi ya mtu ndio uandike Sasa huo muda uko wapi..
Vyuo navyo kuondoka hii sintofahamu wasimamie utaratibu wa TCU kwamba hutoboi bila paper..
Ingekuwa rahisi kudefend kwa nini mnampa fulani PhD simple kw kuonesha paper zake..lkin hivi hivi duh ni kutapa tapa tu
Asante Mkuu umenielewa, ni wakati sasa vyuo vyetu TZ vichukue hii system kwamba huwezi kudefend thesis/dissertation bila kupublish paper inayoendana na research yako uliyofanya, na hiyo paper uipeleke kwenye journals zinazoeleweka duniani
 
Mkuu hamna kitu kama hiko, hizi za coursework zipo lakini ni lazima uandike research!!!, hakuna PHD bila ya research, ndio zipo za coursework ila inakuwa na coursework + dissertation, na nyingine ndio ya thesis ila kusema eti unapiga UE ukimaliza unapewa gamba sio kweli hata kidogo uliza utaambiwa, coursework huwa wanapiga mwaka mmoja, then inayofata anasogeza research mpaka anahitimu!!
Mwambie huyo jamaa...hajui na ni mbishi hatari...huyo hata masters hana...nimemjibu hat haelewi maskini ya Mungu ubishi tu wa wabongo hat kama kitu hajui.
 
Asante Mkuu umenielewa, ni wakati sasa vyuo vyetu TZ vichukue hii system kwamba huwezi kudefend thesis/dissertation bila kupublish paper inayoendana na research yako uliyofanya, na hiyo paper uipeleke kwenye journals zinazoeleweka duniani
Tayari TCU wameiweka hiyo regulation lakin vyuo havisimamii..
Only Nelson Mandela hutoi mguu pale bila kupublish kwenye SCI/expanded journals wengine wanakusanya dissertation tu.
 
Mwambie huyo jamaa...hajui na ni mbishi hatari...huyo hata masters hana...nimemjibu hat haelewi maskini ya Mungu ubishi tu wa wabongo hat kama kitu hajui.
Chief ni kwamba watu huwa wanabeba mambo ya mitandaoni mazima mazima, PhD bila research na publication kwenye reputable journal hiyo siyo PhD, Hiyo ni Advanced Masters
 
Tayari TCU wameiweka hiyo regulation lakin vyuo havisimamii..
Only Nelson Mandela hutoi mguu pale bila kupublish kwenye SCI/expanded journals wengine wanakusanya dissertation tu.
Wanazuoni wapambane na hilo, bila kupublish sehemu inayoheshimika usijiite Dk.
 
Barack Obama ni University Professor/ Juryprudence Doctor lakini sijawahi kuona anatumia hizo prefix labda kwenye CV
 
Kuna kautamaduni kameibuka ka kuchukia watu wanaofanya bidii na kufanikiwa katika kazi, biashara, masomo au hata maisha kwa ujumla.

Ukipata cheo watasema umependelewa, ukifanikiwa kibiashara watasema ni freemason una misukule dukani, ukifanikiwa kielimu utasikia mara hii si lolote si chochote amefoji tu! Acheni hizo. Acheni wivu.

Kama na nyie mnataka kuwa 'doctor' kasomeni. Mwenzenu Jafo amebukua pale UDOM huku akiendelea na majukumu yake ya uwaziri, na leo anatunukiwa PhD yake.

Kuna jitu nimeona huko limeshaenda kufukua huko mitandaoni linadai hiyo thesis ya Jafo inafanana na ya nani sijui wa huko Kenya! Hivi, kati yako wewe wa madongo kuinama na maprofesa wa UDOM, ni nani mwenye uwezo wa kutambua kuwa thesis iko sahihi au la?

Unaamini kabisa kuwa unaweza kuwakosoa maprofesa waliomsimamia Jafo hadi leo anapomalizia defense?

Narudia: acheni wivu. Kama jambo huliwezi sema "siwezi", usiseme "haiwezekani". Jafo ameweza, wengine igeni, jifunzeni.

Hongera sana Selemani Jafo, PhD.
Ila pia kuna kauafadhali ka kusoma ukiwa waziri mtu mzito, mtu maarufu wa serikali, maana maprofesa watakupapatikia, wengine watajipendekeza kukupa marks kubwa, kuutafuta uchawa (wakijua utawabeba kwa siku za usoni)

Tofauti na yule asie na umaarufu wowote anae haso mwanzo mwisho bila kupendelewa. Nahisi hapo ndipo utofauti wa degree, masters na Phd zao na za watu wengine unapoanzia.
 
Kuna kautamaduni kameibuka ka kuchukia watu wanaofanya bidii na kufanikiwa katika kazi, biashara, masomo au hata maisha kwa ujumla.

Ukipata cheo watasema umependelewa, ukifanikiwa kibiashara watasema ni freemason una misukule dukani, ukifanikiwa kielimu utasikia mara hii si lolote si chochote amefoji tu! Acheni hizo. Acheni wivu.

Kama na nyie mnataka kuwa 'doctor' kasomeni. Mwenzenu Jafo amebukua pale UDOM huku akiendelea na majukumu yake ya uwaziri, na leo anatunukiwa PhD yake.

Kuna jitu nimeona huko limeshaenda kufukua huko mitandaoni linadai hiyo thesis ya Jafo inafanana na ya nani sijui wa huko Kenya! Hivi, kati yako wewe wa madongo kuinama na maprofesa wa UDOM, ni nani mwenye uwezo wa kutambua kuwa thesis iko sahihi au la?

Unaamini kabisa kuwa unaweza kuwakosoa maprofesa waliomsimamia Jafo hadi leo anapomalizia defense?

Narudia: acheni wivu. Kama jambo huliwezi sema "siwezi", usiseme "haiwezekani". Jafo ameweza, wengine igeni, jifunzeni.

Hongera sana Selemani Jafo, PhD.
Hongera brother Jaffo

Hongera Sana Brother Jaffo
 
Uko kazini muda wote, ati unahitimu! Ndio maana ma daktari wa PhD hawanactija yoyote kwenye nchi.
 
Sijawahi kusikia mzaramo ambaye ni PhD holder, labda iwe ni PhD ya uswahilina......haya yatakuwa ni moja ya maajabu ya dunia.
 
Back
Top Bottom