Wote wababaishaji tu hapa! Mambo waliyofanya akina Isaac Newton, Albert Einstein, Max Planck. Marie-Curie, Schrodinger, Maxwell, Nicola Tesla n.k magwiji kabisa kuwahi kutokea duniani hao watu walikuwa wanafanya literature review kutoka wapi! Kimsingi unatakiwa kubomoa kichwa chako mwenyewe kuliko kudesa kazi za watu kwa kusingizia literature review! Piga kazi yako mwenyewe toka kichwani kama akina Newton ndipo tutajua hiyo ni PhD yako, hakuna cha literature review hapa! Namalizia kusema hapa kuwa hakuna wa kumnanga mwenzake wakati wote mmedesa kazi za watu (plagiarism).