Mawaziri Selemani Jafo na Dotto Biteko watunukiwa PhD ya Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM)


Vyuo vyetu inabidi vijitafakari sana. Kuna watu ambao ni wanataaluma full time, lakini wanakuwa na kibarua kigumu sana kupata PhD. Inakuwaje hawa mawaziri wetu, ambao wana full plate of nonacademic responsibilities, wanapata PhD kirahisi rahisi? It’s a very rare thing elsewhere!
 
Pesa na madaraka vinafanya kila jambo....
 
Tafuta pesa ndg yangu,Magu yeye nae aliipata ndani ya miaka 3 tu huku akiwa Ni fulltime Waziri.
 
Lecture au Lecturer? Wewe umesoma shule gani ya kata hiyo jamani?

Lecture au Lecturer? Wewe umesoma shule gani ya kata hiyo jamani?
Povu lote Hilo ni hiyo r?au comment yote? Hivi shule za kata ni shule gani? Hivi humu Jf kila mmoja kasoma International school,humu Jf kila mmoja ana maisha mazuri,humu Jf kila mmoja mtaalamu.Lakini maajabu licha ya kejeli mnazozitoa mnajaa Pm tuwatafutie vibarua.Kiufupi wakati namaliza kusoma aliyeanzisha shule za kata alikuwa anachunga ng'ombe umasaini.Lakini kumbuka waliosoma shule za kata nao wanatusua maisha.
 
Unafahamu wameanza kusoma lini?
 

Kilaza wewe, ndiyo maana hata kuwapa ajira watu kama nyie ni mzigo tu! Bora muwe mnacheza kamari tu! Kwani kuandika kwa kiswahili nako kulikushinda? Unajifanya mjuaji wakati ni Mr zero!
 
Kilaza wewe, ndiyo maana hata kuwapa ajira watu kama nyie ni mzigo tu! Bora muwe mnacheza kamari tu! Kwani kuandika kwa kiswahili nako kulikushinda? Unajifanya mjuaji wakati ni Mr zero!
Inaonyesha una stress Sana za maisha.Mr zero ni wewe unaeshobokea comment za watu.Kazi yako kupitia thread za watu na kutazama Nani kacomment Nini.Acha ushamba Mzee kila mtu na bando lake.
 
Wewe tu ni mwanaume kama mabinti. Sisi hatuna mpango na hayo ma-PHD ya kuokoteza. Sisi tunachotaka uwajibikaji na utendaji bora. Tunataka watu kama Sokoine. Wasio na tamaa. Hizo PhD za siku hizi hata hazijulikani zina maana gani?.
Wivuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…