wewe mama hujui kitu katika academic worls especially in TZ! Kamchezee mwali hayo utayaweza, sik ya vyombo hayo unayamdu mpeni wangu😀😀😀😀😀😀😀Kaandikiwe na wewe EINSTEN112
Tuongeze PhD hapa jf💥
Na ukishindwa kuandikiwa uje utengue kauli yako
PhD za bongo wanapeana tu na ni kutaka tu ile prefix ya Dr.
Haya niambie zinaleta TIJA gani kwenye jamii?
Elimu igeuze jamii sio jitu linabaki vilevileNdio maana kasoma yeye sababu kaona ina tija kwake
[emoji2][emoji2][emoji2]
Lema PhD yake anaitafuta lini?Hongera sana Mzee wa wake watatu Ustaadh Jafo hakika wengine waige nyayo. Najua Tundu lissu anaitafuta PHD na yeye sasa hivi akili kubwa sana kwa wakili msomi Lissu. Next on the line nadhani nadhani Zzk.Jerry mabobish slaa naye najua atafuata.
Unaandikiwa kwa hela au unadhani kuna free lunch in Africa? Mwenzio akilipa hata million 2 tu anaandaliwa mzigo wake anaenda kuupambania kwenye panel😅Andikiwa na wewe ukachukue mkuu
wewe mama hujui kitu katika academic worls especially in TZ! Kamchezee mwali hayo utayaweza, sik ya vyombo hayo unayamdu mpeni wangu😀😀😀😀😀😀😀
Magufuli aliandikiwa na Buchweishaija or somebody else, he had no time to attend the course as per law/regulations governing PhD students coursesUshahidi uliwekwa wa JPM akapoteza mtu.
Hongera sana Jaffo. Tutegemee value addtion kwenye kazi zakoKuna kautamaduni kameibuka ka kuchukia watu wanaofanya bidii na kufanikiwa katika kazi, biashara, masomo au hata maisha kwa ujumla.
Ukipata cheo watasema umependelewa, ukifanikiwa kibiashara watasema ni freemason una misukule dukani, ukifanikiwa kielimu utasikia mara hii si lolote si chochote amefoji tu! Acheni hizo. Acheni wivu.
Kama na nyie mnataka kuwa 'doctor' kasomeni. Mwenzenu Jafo amebukua pale UDOM huku akiendelea na majukumu yake ya uwaziri, na leo anatunukiwa PhD yake.
Kuna jitu nimeona huko limeshaenda kufukua huko mitandaoni linadai hiyo thesis ya Jafo inafanana na ya nani sijui wa huko Kenya! Hivi, kati yako wewe wa madongo kuinama na maprofesa wa UDOM, ni nani mwenye uwezo wa kutambua kuwa thesis iko sahihi au la?
Unaamini kabisa kuwa unaweza kuwakosoa maprofesa waliomsimamia Jafo hadi leo anapomalizia defense?
Narudia: acheni wivu. Kama jambo huliwezi sema "siwezi", usiseme "haiwezekani". Jafo ameweza, wengine igeni, jifunzeni.
Hongera sana Selemani Jafo, PhD.
Panel inakuwa imeshawekwa sawa na Msimamizi..... I have witnessed such rubbish myself with aProf from Mzumbe UDSM wing!Unaandikiwa kwa hela au unadhani kuna free lunch in Africa? Mwenzio akilipa hata million 2 tu anaandaliwa mzigo wake anaenda kuupambania kwenye panel😅
Unahakika gani hama huyu mzaramo naye hajaandikiwa[emoji851][emoji851]Magufuli aliandikiwa na Buchweishaija or somebody else, he had no time to attend the course as per law/regulations governing PhD students courses
Hongera sana kwa Mhe Jafo. Mleta taarifa umetumia povu kubwa kutetea hiyo PhD yake. Nadhani haikuwa lazima uweke utetezi wote huu. UDOM ni Chuo kikuu chenye heshima yake na PhD yake pia inaheshima yake na haina ulazima wa kutetewa. Hongera Sana Mhe Jafo.Kuna kautamaduni kameibuka ka kuchukia watu wanaofanya bidii na kufanikiwa katika kazi, biashara, masomo au hata maisha kwa ujumla.
Ukipata cheo watasema umependelewa, ukifanikiwa kibiashara watasema ni freemason una misukule dukani, ukifanikiwa kielimu utasikia mara hii si lolote si chochote amefoji tu! Acheni hizo. Acheni wivu.
Kama na nyie mnataka kuwa 'doctor' kasomeni. Mwenzenu Jafo amebukua pale UDOM huku akiendelea na majukumu yake ya uwaziri, na leo anatunukiwa PhD yake.
Kuna jitu nimeona huko limeshaenda kufukua huko mitandaoni linadai hiyo thesis ya Jafo inafanana na ya nani sijui wa huko Kenya! Hivi, kati yako wewe wa madongo kuinama na maprofesa wa UDOM, ni nani mwenye uwezo wa kutambua kuwa thesis iko sahihi au la?
Unaamini kabisa kuwa unaweza kuwakosoa maprofesa waliomsimamia Jafo hadi leo anapomalizia defense?
Narudia: acheni wivu. Kama jambo huliwezi sema "siwezi", usiseme "haiwezekani". Jafo ameweza, wengine igeni, jifunzeni.
Hongera sana Selemani Jafo, PhD.
Hahahahah watu wanakuwa washatembezewa bahasha za perdiem laki laki😅Panel inakuwa imeshawekwa sawa na Msimamizi..... I have witnessed such rubbish myself with aProf from Mzumbe UDSM wing!
Endelea kusema UDOM ni takataka tupu kama unavyosema, halafu siku moja ubambikiwe kesi na ukifika mahakamani unakuta hakimu kasoma UDOM.Alisoma muda gani? Nakukumbusha ya magufuli na Ben Saanane....... tena UDOM, huko ndiko takataka tupu!
Magufuli aliandikiwa na Buchweishaija or somebody else, he had no time to attend the course as per law/regulations governing PhD students courses
Angalau umekiri hayo! Fine! Mbona nayajua sana ya PhD and the world around me! Ulizia Prof Ndaalio, Prof Khan , Prof Mtotomwema, Prof Ishumi and the like! at UDSM during very early 1980s..... nimefundishwa na hao siyo takataka za sasa. It is no wonder na wewe you are a Professor of Chemistry!Wewe baba mzima ungekua unajua kitu usingekua hapa kuponda PhD ya mwanaume mwenzio
Ndio ushafeli hivyo😂😂😂😂
Halafu nitakualika usiku wa vyombo maana unayaweza kweli mwenzangu
Watu mnajua kuongea aisee, Kigezo cha kwanza kupata PhD lazima upublish paper/s kwenye journal inayotambulika duniani, Na kuna vyuo vingine hawakupi hiyo PhD mpaka upublish papers kuanzia 2 na kuendelea!! Sasa hiyo shughuli ya kupublish hizo papers kwenye reputable journals usimuliwe tu na watu, siyo ya kitoto, sidhani kama kuna mtu anaweza kukufanyia hilo kirahisi namna hiyo! Vyuo serious havina mpango na thesis report, huwa wanaichukulia kama formalities tu, mambo yote ni publicationsWapo watu kazi yao kuandikia watu. India,Kenya,Nigeria ndio usiseme unamlipa.
Mimi tena mamaD, labda kuwaandikia watoto wetu na nimewaandikia wengi tu!Retired uende na wewe ukaandikiwe
Sijatumia povu wala sijatetea. Nimekosoa watu wenye tabia ya kubeza mafanikio ya wenzao, na nikatoa ushauri.Hongera sana kwa Mhe Jafo. Mleta taarifa umetumia povu kubwa kutetea hiyo PhD yake. Nadhani haikuwa lazima uweke utetezi wote huu. UDOM ni Chuo kikuu chenye heshima yake na PhD yake pia inaheshima yake na haina ulazima wa kutetewa. Hongera Sana Mhe Jafo.