YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,902
- 52,001
Labda yote mawiliWana mdanganya au anajidanganya mwenyewe?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Labda yote mawiliWana mdanganya au anajidanganya mwenyewe?
Hayo maduka yanachangia pesa za ndani sio za nje kama mwakaleliBishara zilizopo dar maduka kwenye mitaa kama kariakoo na kazalika huko mwakaleki hapawez kuchangia pato kama hiyo mitaa au dar hujawahi kufika nn..?
Swala sio udini kipindi wakishika waislamu.mikashifa mikubwa ya kutisha mingi mno sijui loliondo,sijui wanyama kubebwa ,sijui mikataba ya IPTL ,Sijui bandari
Inachosha ujue
Swala sio nani yuko juu na wengi nani tumechoka mikashifa mikubwa ya wizi kuwa mingi ya kuibia wananchi mchana kweupe
Hata wangejaa waislamu watupu hakuna shida kama rasilimali za nchi zinakuwa salama