Mawaziri waliotia fora kumuangusha Rais Samia 2022 hawa hapa

saidoo25

JF-Expert Member
Joined
Jul 4, 2022
Posts
624
Reaction score
1,456
Mwaka 2022 unakaribia kumalizika huku wananchi wengi wakilalamikia sana utendaji wa baadhi ya mawaziri ambao wamepewa dhamana na Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan.

Kwa mwaka 2022 Mawaziri walioongoza kutajwa kwa uwajibikaji hafifu na kulalamikiwa na wananchi ni wafuatao

1. Patrobas Katambi- Naibu Waziri Kazi na Ajira
2. Marry Masanja - Naibu Waziri Maliasili
3. Dk. Ashatu Kijaji- Waziri wa Viwanda na Biashara

Tuendelee kuweka orodha ya Mawaziri waliomuangusha Rais Samia kwa mwaka 2022 na waliolalamikiwa sana na wananchi kwa mwaka 2022
 
Unawaonea hakunaga naibu Waziri mbovu ukiona hovyo Waziri husika ndo hafai.

Waziri Makamba kwangu Mimi ndiye kafeli zaidi.

Pia sera za waziri wa fedha ni mbovu inawezekana ni bosi wake au yeye mwanga Hii wizara imemshinda.

Wizara ya maji nayo Waziri wake imemshinda.

Hao wengine ni mbuzi wa kafara tu .
 
Naona nyuzi za kumtetea maza zimeongezeka mgodi umetema Nini.
Mana majuzi hapa alizodolewa Naona naye ameamua kupararua na kukumbatia na kubusu Ila pwani jamani Kuna Mambo acha
 
Mwaka 2022 unakaribia kumalizika huku wananchi wengi wakilalamikia sana utendaji wa baadhi ya mawaziri ambao wamepewa dhamana na Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan.

Kwa mwaka 2022 Mawaziri walioongoza kutajwa kwa uwajibikaji hafifu na kulalamikiwa na wananchi ni wafuatao

1. Patrobas Katambi- Naibu Waziri Kazi na Ajira
2. Marry Masanja - Naibu Waziri Maliasili
3. Dk. Ashatu Kijaji- Waziri wa Viwanda na Biashara

Tuendelee kuweka orodha ya Mawaziri waliomuangusha Rais Samia kwa mwaka 2022 na waliolalamikiwa sana na wananchi kwa mwaka 2022
Ongezea
Waziri na Naibu wake
ARDHI Hawa ni janga kuu la Taifa !!
 
Mwaka 2022 unakaribia kumalizika huku wananchi wengi wakilalamikia sana utendaji wa baadhi ya mawaziri ambao wamepewa dhamana na Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan.

Kwa mwaka 2022 Mawaziri walioongoza kutajwa kwa uwajibikaji hafifu na kulalamikiwa na wananchi ni wafuatao

1. Patrobas Katambi- Naibu Waziri Kazi na Ajira
2. Marry Masanja - Naibu Waziri Maliasili
3. Dk. Ashatu Kijaji- Waziri wa Viwanda na Biashara

Tuendelee kuweka orodha ya Mawaziri waliomuangusha Rais Samia kwa mwaka 2022 na waliolalamikiwa sana na wananchi kwa mwaka 2022
Dah Madelu hujamtaja
 
Aliyepo juu mwenyewe hafifu sasa chini kutakuwaje na presha kubwa.

Ukitumia akili na maarifa kama mama Mulamula unatumbuliwa. Basi we kula tu na kipofu.
 
Mwaka 2022 unakaribia kumalizika huku wananchi wengi wakilalamikia sana utendaji wa baadhi ya mawaziri ambao wamepewa dhamana na Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan.

Kwa mwaka 2022 Mawaziri walioongoza kutajwa kwa uwajibikaji hafifu na kulalamikiwa na wananchi ni wafuatao

1. Patrobas Katambi- Naibu Waziri Kazi na Ajira
2. Marry Masanja - Naibu Waziri Maliasili
3. Dk. Ashatu Kijaji- Waziri wa Viwanda na Biashara

Tuendelee kuweka orodha ya Mawaziri waliomuangusha Rais Samia kwa mwaka 2022 na waliolalamikiwa sana na wananchi kwa mwaka 2022
Nilotwgemea uanze na makamba
Na nape
 
Back
Top Bottom