Tetesi: Mawaziri wanaoingiliwa majukumu na RC Makonda kuanza vikao kumjadili

Ndivo kanuni zinavowataka ama ni kwenda kinyume na taratibu? Yawezekana Makonda akawa anaharibu taratibu lakini wao kujibu pasipo kufata taratibu pia naona hii itakuwa ni kuujumiana na kuumizana zaidi
 
Hao mawaziri wamwache makonda....wasubiri tu awamu yake iishe ndo waje kumsema lkn kwa sasa Makonda ananguvu kuliko hata PM...kumjadili watapoteza vyeo vyao bure watoto wao wafe njaa.
 
Kuna tangazo nimeliona channel tena anatangaza huku kazunguukwa na wanajeshi wa jeshi letu la JWTZ
 
Tunataka Paka anayekamata Panya sio Rangi ya Paka [HASHTAG]#chapaKaziiii[/HASHTAG]
 
Hivi na wewe ni mzee mpaka unajua ya Idd Amini?? Ila sasa unachoandika si sawa na umri wako!! Jirekebishe mkuu!!
 
Ushauri wangu bora waachie ngazi kuliko kuondoka kwa fedheha na kushikiwa bastola kama Nape. Makonda ni mtoto wa Ikulu, pia anaongoza HIT SQUAD, ana ulinzi kuliko wao.
Wangeanzia hapo kwann ana ulinzi mkubwa kuliko wao
 
Hao mawaziri wamwache makonda....wasubiri tu awamu yake iishe ndo waje kumsema lkn kwa sasa Makonda ananguvu kuliko hata PM...kumjadili watapoteza vyeo vyao bure watoto wao wafe njaa.
Ni kwel watapoteza kama Nape
 
Kama wanazubaa makonda afanyeje?
Makonda angewachapa vipoko hawa jamaa (Hawa mawaziri ambao awamu iliyopita walitesa sana watu na kujidai kuwa wana sifa za urais) hadharani ningefurahi sana kwa muda mfupi.idogo wangeamka akili.
 
Mkuu wa mkoa majukumu yake na mipaka yake ipoje

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…