Tetesi: Mawaziri wanaoingiliwa majukumu na RC Makonda kuanza vikao kumjadili

Makonda anachapakazi wapinzani mmekosa hoja hapo awali mliegemea kukemea ufisadi bahati mbaya mkapokea hasiye msafi
 
Huyo James Maliyamungu na Field Marshall Idi Amin Dadaa wako wapi? ukoo wao uko wapi?.
Nawashauri mawaziri wanaokerwa na mwendendo wa mtu yeyote anayeenda nje ya mipaka ya mamlaka yake wajipe mda, mda ni hakimu mwaminifu
 
Kama ukaguzi wa Jeshi si jukumu lake Basi analidharirisha Jeshi
 
Nionavyo mimi hao mawaziri watakua wajinga na watapoteza muda .makonda ni mbunifu hufanya yote kwaajili ya jiji la dar majukumu ya uwaziri ni nchi nzima.daah kama ni kweli hatuna wasomi huyu ambae wanasema kafoji vyeti anakua mbunifu na mtekelezaji wenyewe wapo tu.kiukweli sasa namkubali makonda kwa juhudi zake na matunda yanaonekana dar labda kwa wenyechuki tu ndo wanajifanya hawayaoni.
 
Ametoa amri wakandarasi wawili wasipewe kazi "mkoani kwake", hivi karibuni.
Kakiuka msingi mkuu wa Katiba ya Serikali ya 8Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
 
ni isaac maliyamungu sio james
 

Nawaonea huruma sana Serikali ya CCM itakapokuja kushtuka imemtengeneza mtu wa kupindua serikali halali.Ngoja tusubiri kwanza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…