Mawazo yanahitajika kuhusu Uncle kulala na mtoto chumba kimoja

Ukija Kuta amelawitiwa ndio utakuwa na akili.
Walaze wanao chumbani kwako kama unaona unamhurumia Sana huyo shemeji yako.
Vinginevyo kamlipie gesti alale huko.
Aje kula nyumbani.
Atajiongeza
 
Ova my dead body!mwanangu awe wa kike au wa kiume kulalala na mtu wa jinsia me ni big no. ni hatari is your mithilika ,huyo alale sebuleni ,huko lodge utalipa mpaka lini? kama anakaa wiki tatu itakuwaje?
Hata ke.
Wasagaji wako wengi Sana mitaaani.
 
Hata ke.
Wasagaji wako wengi Sana mitaaani.
Ni kweli,Kuna kesi mdada alimaliza form form akaenda kwa Kaka yake,akawa analala na mtoto wa miaka mitano usiku anamlambisha mtoto dudu..
 
Ivi watu tuna tofautiana kumbe!! Mimi nikisafiri nikienda mahali huwa najipanga kabisa maswala ya kulala mpaka chakula hatakama nina ndugu eneo hilo

Back to the point huyo anko inawezekana hajielewi anawezaje kulala na watoto ivi kwanza Ana anzaje? Na nyie kama familia mnaliangalia tu upo serious kweli

Hilo swala halina mjadala akatafte sehemu ya kulala kwanza naona ume mheshimu sana mpaka unamtaftia Lodge ingekuwa mimi ningemchana live

Nakuunga mkono 100% asilale na watoto sahvi mambo yamebadilika sana ... usipende kumwamini mtu yeyote nawasilisha
 
Nmekumbuka juzi kati nilisafiri pemben yangu alikuwepo binti mdogo tu miaka haizid 10 simfaham nilimkuta tu kwenye bus

Tumeenda kufika njian akapakiwa abiria mmoja then bus ilikua imejaa akaja straight kwangu akasalimia mara akaniambia kwamba naomba nikae hapo kwa binti nimpakate

Nikamjibu tu huyu amelipia hii seat so ni haki yake kukaa hapa we endlea kusimama, Naona akasema oooh ntampakata tu nikamwangalia then nikamjibu huoni pia huyu ni mtoto wa kike ujasiri wa kumpakata mtoto usiemjua unautoa wap, nikawa serious sasa.

So hii Dunia ya sasa tusipowalinda hawa madogo kuna wapuuzi wengi sana wanaweza kuwaharibu
 
Kamtafutie mkuu siku nyingine Kama anaakili atajiongeza
 
Hoja zako zinaonesha jinsi gani upeo wako wa akili ulivyo, kubishana na mtu kama wewe ni kupoteza mda
 
Nataman nione picha yako na maisha yako, nahisi kuna kitu hakiko sawa kwako
 
Ulifanya jambo la maana, kwasababu hakukua na option nyingine, na wazazi wake waliona bora wamiatie siti

Tatizo wabongo wengi wanaishi kwa hisia na sio uhalisia
 
Huna jipya ww zaidi ya uchoyo na roho mbaya

Mnaiga iga tu hata ambavyo havifai. Toka lini waafrika tukaulizana kutembeleana
 
Huelewi nini au na ww ni wale mliotawaliwa na ubinafsi na kuona mna mali so hakuna wa kukubabaisha.

Suala si kulala na mtoto, ww mbaba unaanzaje kulala na mtoto wa kike!! Ishu ni kumuachia mgeni chumba ajihifadhi kwa hiyo siku. Kwani unapungukiwa na nini.

Haya ww unaishi mjini, sawa. Kuna lodge kila kona. Umewahi kujiuliza kwa wanaoishi vijijini?. Ina maana ww wa mjini huwezi kwenda kijijini iwe ni kwa mambo flani flani au hata kuwasalimia. Je kama nyumba utayoikuta haitoshelezi ugeni wako ina maana wakufukuze maana huko hakuna lodge.

Nyie binadamu mnaojifanya mmestaarabika acheni ubinafsi
 
Nataman nione picha yako na maisha yako, nahisi kuna kitu hakiko sawa kwako
Kutamani kuona picha ya mwanaume mwenzio ni kuzidi kuonyesha matatizo ya akili. Kutoka kulaza mtoto wako wa miaka mitano na mwanaume, sasa unaelekea kutaka kuona picha ya mwanaume mwenzio. Hizo familia mnawezaje kuziendesha na akili za hivi?
 
Nimekupa options tatu
1. Mgeni atoke akalale anakojua yeye
2. Mtoto abebwe akalale na wazazi wake mgeni aachwe
3. Mgeni agharamiwe gharama za kulala lodge

Kinachokuliza nini?
 
Takwimu hazidanganyi! Takwimu zinadai kuwa watoto wengi HUDHALILISHWA KINGONO (sex abuse) na watu walio karibu nao/ndugu/jamaa. Kuwa makini!
 
Sqala si kufaidi wala kuondoka na nyumba


Na haina uhusiano na roho mbaya



Acha kulala kwa familia yenye chumba na sebule!!!!!


Yaani mtu mzima na mvi zako....

Unatoa miguu yako...

Unaenda kulala kwa ndugu ambaye ana chumba na sebule...

Comfortable.....

Na usingizi unapata!!!!!!


Unahitaji kukombolewa!
Watu wenye roho mbaya wanaona mgeni akilala kwao atafaidi na kudhani kama ataondoka na nyumba.
 
Kwani dunia haijabadilika??????


Tatizo watanzania hampendi kuambiwa ukweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…