Mawazo yangu kuhusiana na mkutano wa waziri Wang Yi na waandishi wa habari

ldleo

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2010
Posts
1,116
Reaction score
1,121
adaf2edda3cc7cd9f7eb6acbaedddc36ba0e91c0.jpeg

Nilifuatilia mkutano wa waziri wa mambo ya nje wa China Wang Yi na waandishi wa habari uliochukua takriban dakika 70, na jambo muhimu kwangu ni yeye kuzungumza kuhusu ushirikiano wa China na Afrika.

Muhimu zaidi ni yeye kujibu madai kuwa China inaweka mitego ya madeni barani Afrika.

Wang Yi mwanzo alisisitiza kuwa China inaunga mkono maendeleo Afrika, huku akitoa mfano ya miradi kama vile Kilomita 10,000 za reli, zaidi ya kilomita 100,000 za barabara kuu, takriban bandari 100 pamoja na hospitali na shule zisizohesabika zilizojengwa kupitia msaada wa China barani Afrika.

Kwa kweli, hizi sio mitego ya madeni bali ni nguzo za ushirikiano uliopo kati na Africa na China.

Pia nilifurahia kwamba Wang Yi aliweka bayana kuwa mipango 9 ya maendeleo yaliyotangazwa na Rais Xi Jinping kufadhiliwa na China barani Afrika yataanza kutekelezwa mwaka huu. Hii bila shaka itaongeza maendeleo Afrika.

Yeye kusema China itaheshimu ahadi yake kwa Afrika na kwamba kamwe haitatoa ahadi tupu ni ujumbe mwingine muhimu sana.

Ni muhimu pia kwamba mwanadiplomasia huyo wa ngazi za juu wa China aliahidi kuwa China itapanua ushirikiano dhidi ya covid na Afrika hasa kwa kutimiza ahadi ya kutoa dozi bilioni 1 za chanjo kwa Afrika mwaka huu.

Mipango muhimu ya maendeleo yanayofadhiliwa na China kama vile Ukanda Mmoja Njia Moja yatasaidia kuongeza maendeleo na kufufua uchumi wa Afrika baada ya chamuko la covid na ni muhimu kwamba Wang Yi aliahidi kuhakikisha ushirikiano utaendelea kupitia mpango huo wa Belt and Road.

Mbali na masuala ya Afrika na China, nina furaha kuwa alizungumzia mgogoro wa Ukraine. Taarifa yake kuwa China haipendelei pande yeyote ile na kwamba itachukua jukumu la kuwezesha mazungumzo ya amani na kushirikiana na jamii ya kimataifa kutatua mgogoro huo ilikuwa ya maana sana.

Kwa maoni yangu, hii ilikuwa ni ujumbe uliofaa mno na wa kutoa hakikisho kwa washirika wake na jumuiya ya kimataifa kwa ujumla.
 
View attachment 2144134

Chukua muda wako kidogo kusoma tabia za mikopo ya China ndio utawajua vizuri. Huko Asia mikopo yao inafamahamika vizuri, kwa Afrika Kenya na Zambia wanaweza kuwa mifano mizuri.
Yote kwa yote, kwenye dunia hii hakuna mtu au taifa litakalokuwa linapita kugawa pesa za bure bila lenyewe kufaidika.
 
umeanza vyema ila umemliza vyema zaidi hongera
 
China sio wajamaa Tena ni mabeberu haswa misingi yakijamaa washaachana nayo na endapo wangeendelea nayo wasingekua hapo
 
Chukua muda wako kidogo kusoma tabia za mikopo ya China ndio utawajua vizuri. Huko Asia mikopo yao inafamahamika vizuri, kwa Afrika Kenya na Zambia wanaweza kuwa mifano mizuri.
Yote kwa yote, kwenye dunia hii hakuna mtu au taifa litakalokuwa linapita kugawa pesa za bure bila lenyewe kufaidika.
China ina mpango wa moaka 30 kwa Afrika ila Afrika hatuna hata mpango wa miaka 10 kwa ajili yetu 😕
 
Back
Top Bottom