Mawazo yangu kuhusu Bilionea wa Tanzanite

Bei ya tanzanite sasa imeshuka mara dufu crt kwa sasa haizidi usd 150 kwa hapa Tanzania na hapa sio kwamba hilo jiwe lote lita toa hizo crt unazosema kuna mikatiko kuna mavumbi kuna mambo mengi wala toka wa kukata hayo mawe uzito unapotea hapo sana sana zitapatikana crt elf45 hivi.

Hizo bei za tanzanite ulizotaja ni bei za miaka kama miwili nyumba kuanzia mwaka jana bei zilianza kushuka na sasa sbb sijui ni corona ama nini imeshuka mno
 
Wabongo aise ...
Mpe kichwa cha habari tu hiyo story nzima atamalizia mwenyewe [emoji3][emoji3][emoji3]
LA SABA OYEE..!
 
Sasa kwanini wasilichambue hilo jiwe kwanza kisha waje na hesabu kamili kuliko kununua hivyo lilivyo? Kwani kuna haraka gani hapa?
Hiyo inaitwa "sorting" kwa uchache iko hivi: jiwe linapouzwa mara nyingi ni makubaliano ya muuzaji na mnunuzi na mara nyingi mchimbaji anataka kuuza jiwe lake kwa makubaliano ya jinsi lilivyo hivyo risk inakuwa kwa mnunuzi ingawa mnunuzi makini anakuwa ameshalikadiria kwa muonekano anapata thamani kabla ya sorting nb: wachimbaji wengi hawapendi kufanya sorting kabla ya biashara kwasababu ni taaluma inayohitaji weledi hivyo ukifanya kosa kidogo jiwe ulilokuwa upewe milioni unaweza jikuta umetoa vipande undergrade ukapewa elfu 50
 
Muache wala hajui chochote huyo, bei anayo isema huko duniani ni baada ya jiwe kukatwa katika shape na kuwa polished.. Kumbuka likiwa polished na likifanyiwa cutting halibaki na size ileile na kama ndani lina crack basi hiyo nayo ni dosari kubwa.. Vivyo hivyo unaweza kukuta Almas ikiwa raw ni carats 100 lakini ikikatwa katika shape na kunakshiwa kwa ajili ya soko la ulimwengu huko linapungua mpaka carats 60 inategemea na ubora wa jiwe.. Anwys, somo hili ni pana sana ngoja tuwaache wa kukurupuka wakurupuke..
 
Tanzania watalam wetu wengi wanakaa kimya kwenye habari nyingi za kupotosha ukweli.
Watalam ni vizuri kujibu hoja za mtoa mada kisomi.
 
Nimeangalia hiyo habari..serikali imechukua million 600 toka kwenye huo mzigo..kwahyo jamaa anabaki na hiyo saba..na mwenyewe karidhika wakati anahojiwa.!
 
Nimeangalia hiyo habari..serikali imechukua million 600 toka kwenye huo mzigo..kwahyo jamaa anabaki na hiyo saba..na mwenyewe karidhika wakati anahojiwa.!
na hilo ndo jammbo la muhimu, kuridhika na unachopata.
 
na hilo ndo jammbo la muhimu, kuridhika na unachopata.
Kabisa mkuu unajua binadamu tumejawa tamaa sana yaani kuna watu roho zinawauma kabisa eti kapunjwa..hii biashara na hii corona haisomeki jamaa kapata bahati fasta tu..tena mzigo umenunuliwa na serikali..
 
Shukuru hata kapewa hiyo..

Turidhike kwa kidogo tukipatacho.

Ardhi si yake. Dondokela tu
 
Una akili sana Mkuu. Serikali hii iliyojaa dhuluma imemdhulumu huyo jamaa karibu kati bilioni nyingi sana duh!!! Wanaomfahamu WAMSTUE haraka sana.

For richly colored AAA Tanzanite, 1ct is approximately worth $300-$425 per carat. 2ct sizes reach $450-$650 per carat. 3 carats and up will reach $650-$750 per carat. The changes taking place in Tanzania makes tanzanite a very good investment stone.

Mkuu angalia hizo hesabu zako zisikutokee puani asee...
Acha vitisho vya nyau. Vitisho peleka Facebook.

Huku unatakiwa utoe hoja; mtoa mada katoa analysis ya kupigwa. Ww unasema hajapigwa. Kwa nn hajapigwa? Toa hoja.

Mkishindwa hoja na kuumbuliwa mnakimbilia vitisho vya kuteka na kuua. Stupid.
 
😁😁
 
Kwa hivyo unataka kutuambia kuwa serikali yetu imeingizwa chaka?
 
Kabisa mkuu unajua binadamu tumejawa tamaa sana yaani kuna watu roho zinawauma kabisa eti kapunjwa..hii biashara na hii corona haisomeki jamaa kapata bahati fasta tu..tena mzigo umenunuliwa na serikali..

Kabisa mkuu unajua binadamu tumejawa tamaa sana yaani kuna watu roho zinawauma kabisa eti kapunjwa..hii biashara na hii corona haisomeki jamaa kapata bahati fasta tu..tena mzigo umenunuliwa na serikali..

Kwa haya inawezekana serikali imepata hasara kununua jiwe ambalo halilingani na thamani take?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…