KakaJambazi
JF-Expert Member
- Jun 5, 2009
- 18,804
- 12,227
Mi mwenyewe sina imani na benk za tz baadgi yao wanachomoa mia mia kwenye viela vyetu, sasa kwa yeye mwenye bilion 7, wakichomoa 10 10 kila baada ya masaa kadhaa, ni ngumu kujua.Mm kuna kitu nakiona kwa jicho la tatu.....
atangaze anatafuta benki ya kufanya nayo biashara kuhifadhi pesa zake......
kudeposit b Saba at once kwa benki hiyo ni pesa mingi sana ......
ni kama kuwapo mtaji wa biashara.....