Kilele9
JF-Expert Member
- Jun 1, 2017
- 1,452
- 1,093
Kabisa mkuu unajua binadamu tumejawa tamaa sana yaani kuna watu roho zinawauma kabisa eti kapunjwa..hii biashara na hii corona haisomeki jamaa kapata bahati fasta tu..tena mzigo umenunuliwa na serikali..
Hiyo inaitwa "sorting" kwa uchache iko hivi: jiwe linapouzwa mara nyingi ni makubaliano ya muuzaji na mnunuzi na mara nyingi mchimbaji anataka kuuza jiwe lake kwa makubaliano ya jinsi lilivyo hivyo risk inakuwa kwa mnunuzi ingawa mnunuzi makini anakuwa ameshalikadiria kwa muonekano anapata thamani kabla ya sorting nb: wachimbaji wengi hawapendi kufanya sorting kabla ya biashara kwasababu ni taaluma inayohitaji weledi hivyo ukifanya kosa kidogo jiwe ulilokuwa upewe milioni unaweza jikuta umetoa vipande undergrade ukapewa elfu 50
Muache wala hajui chochote huyo, bei anayo isema huko duniani ni baada ya jiwe kukatwa katika shape na kuwa polished.. Kumbuka likiwa polished na likifanyiwa cutting halibaki na size ileile na kama ndani lina crack basi hiyo nayo ni dosari kubwa.. Vivyo hivyo unaweza kukuta Almas ikiwa raw ni carats 100 lakini ikikatwa katika shape na kunakshiwa kwa ajili ya soko la ulimwengu huko linapungua mpaka carats 60 inategemea na ubora wa jiwe.. Anwys, somo hili ni pana sana ngoja tuwaache wa kukurupuka wakurupuke..
Kabisa mkuu unajua binadamu tumejawa tamaa sana yaani kuna watu roho zinawauma kabisa eti kapunjwa..hii biashara na hii corona haisomeki jamaa kapata bahati fasta tu..tena mzigo umenunuliwa na serikali..
Kwa haya inawezekana serikali imepata hasara kununua jiwe ambalo halilingani na thamani yake