Mawazo yangu kuhusu Bilionea wa Tanzanite

Mm kuna kitu nakiona kwa jicho la tatu.....
atangaze anatafuta benki ya kufanya nayo biashara kuhifadhi pesa zake......
kudeposit b Saba at once kwa benki hiyo ni pesa mingi sana ......
ni kama kuwapo mtaji wa biashara.....
Mi mwenyewe sina imani na benk za tz baadgi yao wanachomoa mia mia kwenye viela vyetu, sasa kwa yeye mwenye bilion 7, wakichomoa 10 10 kila baada ya masaa kadhaa, ni ngumu kujua.
 
Weka hesabu %?mikatiko
%? Mavumbi
%?mambo mengi nk
 
Weka hesabu %?mikatiko
%? Mavumbi
%?mambo mengi nk

Mimi nimeongea kwa uzoefu wangu wa hiyo kazi nipo miaka 15 sasa...
Ukisema niweke % sitaweza sbb sijaliona hilo jiwe live ni Picha tu .. picha haisemi Kila kitu ila ila ujuwe jiwe likishakatwa uzito sio ule ule tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…