Maxence Melo amshangaa Gerson Msigwa kusema waliovamia Ofisi za Jamiiforums ni Maafisa Usalama

JAmaa una akili sana..hii issue sio ya melo ..walengwa haswa ni members..ndio mana mimi mapeeema kabisa nalinda kende zangu kwa kuchunga domo langu na midole isi type ujinga.. au nasema uongo ndugu zangu leo dada Numbisa ???
 
Mexcence Melo si untouchable. Atoe ushirikiano. La sivyo na asije kuanza kulialia kama wengine. Atoe ushirikiano mambo yeshe. Ninyi mnaojifanya mnamtetea Melo mnamwingiza mkenge tu. Hamkusaidia Lissu, Mdude wala Askofu Gwajima.
Ivi watu wam love melo kabisakabisa hana ujanja wa kuwakwepa..!! Melo anaweza kuvumilia plaiz ya maeneo.??? Jibu ni hapana
 
Hawataweza Kwan ni mara ya kwanza kumkamata Melo?

Hawa viongozi kilichobaki ni kuwasomea albadiri tu kama sio kuwaroga kabisa
Acha kujipa moyo wewe...yule akishikwa hana ubavu wa kujizuia..hakuna mkakamavu kwenye kubinywa kende
 
Acha uoga mtoto wa kiume unakua muogamuoga mijitu kama nyie ndio mnaipa ccm kichwa shenzi yaani mtandaoni tu unakua lioga hivi je road itakuaje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…