Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Saafi kabisa
Ha ha ha....wee jamaa bhana[emoji4]Majukwaa ambayo yatapata umaarufu muda si mrefu.
MMU, JAMII SPORTS ,CELEBRITIES FORUM,TECH .
Nyuzi zitakazofufuliwa .
Uzi wa kula kimasihara,
Wazee wa kubashiri
Jinsi biashara ya uber
Nyuzi za mama j
Kila lenye mwanzo halijawahi kukosa kuwa na mwisho.
Hii privacy iliyokuwepo tu nilikuwa sina imani nayo.
Sidhani kama hii ya baada ya teuzi itakuwa na imani tena.
Kilichobaki hapa ni kutelekeza id's maarufu na kuchukua iid nyingine za kuchangia mada MMU.
WAASALAAM
Na nyampara wanakusubiri kwa hamu!!Hongera boss
Lakini sasa tuanze kuwa makini ukiropoka tu ,utaanza kupelekewa msosi central
MImi nafikiri anavyokupa uwanja mpana nyuzi zako labda mrengo wa kati kama mimi!kwani yeye chama gani ?
Kwani udugu unaogopa nini?! 😂😂😂Maxence Melo hebu njoo hapa baba useme neno, watoto wako wanahitaji neno kutoka kwako, wapate kuponaa.
[emoji120][emoji120][emoji120]
Huu uteuzi unanipa mashaka juu usalama wangu. Sio taarifa nzuri maana Akishalishwa asali hata kuwa na akili ya kusema hapana. Inshort hawezi mkatalia boss wake chochote atachotaka!
Hata wewe member mwenzangu huwezi mvimbia boss wako. Tumekwisha!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mie nlikua nachangia kwa mbaliii tyuuh, taarifa za siri huko serikalini nizitoe wapiii?[emoji23][emoji23][emoji23] Km uliwai kujifanya mtoa taarifa za siri za serikali puliiz kafute na itelekeze id mapem. Disko limeingia masai